Zanetti: Inter Ilijaribu Kumsajili Messi Baada ya Kuondoka Barcelona
Javier Zanetti amesema kuwa Lionel Messi alifanya mazungumzo na Inter kuhusu uwezekano wa kuhamia miamba hao wa Italia baada ya kuondoka Barcelona. Messi aliondoka Barca mwaka 2021 baada ya …