Tottenham - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tottenham Yamuongezea Mkataba Udogie

Daily News

Klabu ya Tottenham Hotspurs imefikia makubaliano ya kumuongezea mkataba beki wake wa kushoto raia wa kimataifa wa Italia Destiny Udogie baada ya mazungumzo ya muda mrefu baina ya klabu na …

Aston Villa Waichapa Tottenham

Daily News

Klabu ya Aston Villa imefanikiwa kuifunga klabu ya Tottenham Hotspurs kwenye mchezo wa ligi kuu ya Uingereza ambao umepigwa jioni ya leo. Aston Villa chini ya kocha Unai Emery imeendeleza …

Tottenham Yapigwa Tena

Daily News

Klabu ya Tottenham imekubali kichapo kwenye mechi ya pili mfululizo msimu huu baada ya kupoteza Jumatatu dhidi ya Chelsea leo wamekubali kichapo tena mbele ya Wolves. Klabu ya Wolves wakiwa …

Tottenham Spurs Yarejea Kileleni

Daily News

Klabu ya Tottenham Hot Spurs imerejea kileleni kwenye msimamo wa EPL baada ya kushinda mchezo wao jana dhidi ya Fulham.   James Maddison alimsifu kocha wa Tottenham Ange Postecoglou baada …

Tottenham Yakaa Kileleni Epl

Daily News

Klabu ya Tottenham Hotspurs imefanikiwa kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kushinda mchezo wao mchana huu kwa bao moja kwa bila dhidi ya Lutton Town. …

Tottenham Kumsaini Kane Tena

Daily News

Mwenyekiti wa klabu ya Tottenham Hotspurs Daniel Levy ameweka wazi kua ikitokea aliyekua mshambuliaji wao Harry Kane akarejea katika ligi kuu ya Uingereza siku moja basi wanaweza kumsaini tena. Bosi …

Kocha Tottenham Amsifia Beki Romero

Daily News

Kocha wa klabu ya Tottenham Hotspurs Ange Postecoglou amesema asingependa kukabiliana na beki wa timu raia wa kimataifa wa Argentina Cristian Romero akiwa timu tofauti. Kocha huyo wa Tottenham amesema …

Tottenham Yamuibukia Lukaku

Daily News

Tottenham wameripotiwa kuwa kwenye majadiliano ya kutaka kumleta Romelu Lukaku Kaskazini mwa London baada ya kumpoteza Harry Kane kwenda Bayern Munich, jambo ambalo si habari njema kwa Juventus na matumaini …

Tottenham waanza na sare Epl

Daily News

Klabu ya Tottenham Hotspurs imeanza na sare ya mabao mawili katika mchezo wao wa kwanza katika ligi kuu ya Uingereza dhidi ya klabu ya Brentford katika mchezo uliopigwa katika dimba …

Tottenham Wakubali Kumuuza Harry Kane

Daily News

Juventus wamepoteza timu inayetarajiwa kumnunua Dusan Vlahovic baada ya Bayern Munich kuripotiwa kufikia makubaliano na Tottenham kwa ajili ya Harry Kane.   The Bianconeri wamekuwa wakitafuta kumhamisha mshambuliaji huyo wa …

1 2 3 4 5 102 103 104