afcon - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Algeria Wavuliwa Ubingwa AFCON

AFCON

Mambo yanazidi kubadilika kuelekea hatua ya 16 bora. Bingwa mtetezi wa AFCON, Algeria sasa ni rasmi ameyaaga mashindano. Kwa namna ya kipekee na kustaajabisha, Algeria wanaishia hatua ya makundi kunako …

Ghana OUT AFCON 2021.

Daily News

  Timu ya Taifa ya Ghana ( Black Stars ) imeondolewa rasmi kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2021 na timu ya taifa ya Comoros katika mchezo …

AFCON 2021 Kuanza Leo Cameroon.

Daily News

  Maandalizi yamekamilika kuelekea michuano ya soka kwa mataifa ya Afrika (AFCON) nchini Cameroon, iliyoahirishwa kutoka mwaka 2021 kwa sababu ya janga la Covid 19.   Nyota kadhaa wa Ligi …

EPL: Vilabu vya Uingereza na AFCON 2021

AFCON

Michuano ya AFCON iliyoahirisha mwaka 2021 sasa kuendelea mwaka Januari 2022 wakati ligi kuu ya Uingereza ikiwa imepamba moto huku vilabu vingi vikipoteza wachezaji wake mahiri kwenye wakati muhimu. Habari …

Hakim Ziyech Kutoiwakilisha Morocco AFCON

CAF

Mshambuliaji wa timu ya Chelsea Hakim Ziyech hatasafiri kurudi Afrika kwa ajiri ya kuja kuliwakilisha taifa lake la Morocco kwa sababu kocha mkuu wa timu ya taifa Vahid Halilhodzic kutomjumuisha …

Taifa Stars Out AFCON 2022

Champions League

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars rasmi imetupwa nje rasmi kushiriki michuano ya AFCON 2022 kule Cameroon. Taifa Stars imetolewa huku ikiwa bado na mchezo mmoja, hii ni baada …

Kikosi Cha Taifa Stars Kuelekea AFCON

Daily News

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Kim Paulsen ametangaza kikosi cha wachezaji kitakachoenda kushiriki katika michezo iliyosalia ya kufuzu AFCON. Kikosi cha Taifa Stars kilichoitwa leo …

1 2 3 4 5 19 20 21