Mbona Watakoma
Champions League

ALIYEWAHI kuwa kocha wa klabu ya Chelsea, Conte ambaye kwa sasa ameungana na mchezaji wa zamani wa United, Lukaku wameweza kukutana ndani ya klabu ya Inter Milan na kuanza kuweka …

Soma zaidi
Fununu za Soka Ulaya
Champions League

Kocha aliyehudumu katika kikosi cha Manchester United, Mourinho anasema kwamba nyota wa klabu hiyo na mlinda mlango, David de Gea ana kila haja ya kutulia ndani ya klabu hiyo kutokana …

Soma zaidi
Klopp Amkanyaga Pep!
Champions League

Ni katika tuzo za FIFA ambapo kocha huyo ameweza kunyanyua akimuweka pembeni mtani wake wa muda mrefu, Guardiola, pia, amefanikiwa kumuacha mbali kocha wa klabu ya Tottenham ambaye ameweza kukaa …

Soma zaidi
Mchezaji Bora wa Kiume FIFA
Champions League

Usiku wa kuamkia leo shirikisho la soka la dunia lilimtangaza mchezaji wao wa mwaka ambaye ameweza kutwaa tuzo ya kuwa mchezaji aliyeonesha mchango mkubwa ndani ya soka kwa msimu uliopita, …

Soma zaidi
Ripoti Mbalimbali za Soka Ulaya
Champions League

Mlinda mlango wa klabu ya Tottenham Spurs, Hugo Lloris anasema anafikiria kuondoka kikosini hapo ili kuweza kujiunga na klabu ambayo inachukua mataji ili hadi atakapofikia hatua ya kustaafu basi awe …

Soma zaidi
Wamefungwa Tena!
Champions League

Inaonekana kama ligi inakuwa ngumu sana msimu huu ndani ya Hispania kwa vilabu vikubwa wakiwemo Barcelona, Real Madrid na Atletico baada ya kuwa na safari ambayo ni ngumu kwao kutokana …

Soma zaidi
Uvumilivu Waanza Kumshinda Rabiot Kule Juventus
Football

  Kiungo wa Juventus, Adrien Rabiot anaripotiwa kuwa kwa sasa hana furaha na hali yake kufuatia mda mchache wa kucheza soka anaoupata klabuni hapo. Rabiot Aliungana na Juventus kwenye uhamisho …

Soma zaidi
Nini Kimemkuta Rebic?
Champions League

Bodi inayoongoza ligi ya mabingwa Ulaya ina aina ya misingi na kanuni ambazo inazifuata ili kuweza kuweka kila kitu kikae kwenye mfumo wake ambao hakuna hata mmoja anayepaswa kwenda kinyume …

Soma zaidi
Fununu za Soka Barani Ulaya
Champions League

Klabu ya Liverpool ipo katika mazungumzo ya kumuongezea mkataba nyota wa klabu hiyo, Sadio Mane ambao kwa sasa utakuwa mnono zaidi na wanatazamia kuanza kumlipa nyota huyo kiasi cha £220,000 …

Soma zaidi
Mzimu wa Mourinho Waendelea kuwatafuna United
Football

Manchester United wamepokea kichapo kutoka kwa West Ham United ikiwa ni gemu yao ya 6 kwenye Ligi Kuu ya Uingereza msimu huu. Matokeo haya yanawaacha wakishuka hadi nafasi ya 7 …

Soma zaidi