Liverpool na Tuzo za Ballon d’Or
Champions League

Ballon d’Or ni tuzo zilizojizolea umaarufu mkubwa sana ndani ya soka zikiwa zimeanza kipindi kirefu kwa kutambua mchango mkubwa wa wachezaji unaofanywa katika michuano mbalimbali ikiwemo ile ya klabu bingwa …

Soma zaidi
Uingereza Wafanya Kufuru!
Champions League

Timu ya taifa ya Uingereza, baada ya kupoteza mchezo wao wa awali ambapo ilikuwa kama funzo lao kwenye michuano hiyo, walitokea kutokuridhishwa na kiwango ambacho wao wenyewe walikionesha ndani ya …

Soma zaidi
Fununu Mbalimbali za Soka
Champions League

Matajiri wa jiji la Ufaransa, PSG wameingia sokoni kutaka kumenyana na klabu ya Real Madrid juu ya kufukuzia saini ya mchezaji wa klabu ya Tottenham, Eriksen ambaye kwa kipindi kirefu …

Soma zaidi
Hawaamini Walichokiona!
Champions League

Mechi ya wakubwa wa ligi kuu ya Uingereza na washindani wa muda mrefu, Manchester United na Liverpool imekwenda kwa matokeo ambayo hayakuaminiwa na wengi kwamba ingefikia hatua klabu hizo zikapata …

Soma zaidi
Fununu za Soka Ulaya
Champions League

Klabu ya Inter Milan inaonekana kutaka kuvuta wachezaji wengi zaidi kutoka ndani ya kikosi cha Manchester United baada ya kuwachukua Lukaku na Sanchez ambao wote wamehudumu kikosini hapo na sasa …

Soma zaidi
Messi Hataki Mkataba wa Maisha Barca!
Football

Nyota wa Barcelona, Lionel Messi amekuwa mchezaji mwenye mapenzi na klabu ya Barca kwa mda mrefu. Messi amenukuliwa mara kadhaa kuwa hahitaji kuondoka klabuni Barcelona. Lakini amenukuliwa pia akisema kuwa …

Soma zaidi
Janga kwa United!
Daily News

Klabu ya Manchester United ambayo mbali na kusuasua ndani ya ligi kwa sasa bado inaonekana kuna mzimu unaendelea kuwatafuna mara baada ya kuanza kupata majeruhi ambao ni sehemu ya wachezaji …

Soma zaidi
Fununu za Soka Barani Ulaya
Champions League

Klabu ya Tottenham inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza imeonekana kujenga mahusiano ya karibu zaidi na kocha Mreno, Jose Mourinho juu ya hatma ya mwalimu wao ambaye anaifundisha klabu hiyo kwa sasa. …

Soma zaidi
Huyu Siyo Lukaku wa United?
Champions League

Nyota aliyechezea klabu ya Manchester United kwa kipindi kifupi ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Inter Milan amekuwa katika kiwango ambacho kimekuwa kikiwashangaza wengi katika msimu huu ambao anacheza …

Soma zaidi
Fununu za Soka Barani Ulaya
Champions League

Meneja wa zamani wa klabu ya Juventus, Allegri anaona endapo klabu hiyo itahitaji kuongeza nguvu katika safu ya ukufunzi ndani ya benchi lao hawana budi kabisa kumuhusisha nyota wa zamani …

Soma zaidi