This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Huyu Siyo Lukaku wa United?
Nyota aliyechezea klabu ya Manchester United kwa kipindi kifupi ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Inter Milan amekuwa katika kiwango ambacho kimekuwa kikiwashangaza wengi katika msimu huu ambao anacheza …
Fununu za Soka Barani Ulaya
Meneja wa zamani wa klabu ya Juventus, Allegri anaona endapo klabu hiyo itahitaji kuongeza nguvu katika safu ya ukufunzi ndani ya benchi lao hawana budi kabisa kumuhusisha nyota wa zamani …
Vikosi na Uchambuzi: Eiber Vs Barcelona
Barcelona wanakuwa wageni wa Eiber Jumamosi ikiwa ni kurejea kwa Ligi ya La Liga. Vijana wa Ernesto Valverde wanatarajia kujifariji kwa kujipandisha kileleni kwenye msimamo wa Ligi ya La Liga …
Bulgaria Wakutana na Faini!
Timu ya taifa ya Bulgaria wamekutana na mkono wa sheria mara baada ya vitendo vinavyopigwa vita na shirikisho la soka duniani juu ya ubaguzi wa rangi na kashfa zote zinazoashiria …
Fununu za Soka Barani Ulaya
Tottenham wamerejea upya pale walipoishia msimu uliopita juu ya nia yao ya kumhitaji nyota wa klabu ya Sporting CP, Bruno Fernandes ambaye pia amekuwa akiviziwa na klabu ya Manchester United …
Rekodi ya Ronaldo
Nyota wa klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amevunja rekodi ya aina yake katika ufungaji wa magoli mara baada ya kufikisha rekodi kubwa kuwahi kutokea …
Fununu za Soka Barani Ulaya
Huenda klabu ya Bayern Munich ikaingilia biashara ya klabu ya Real Madrid juu ya usajili wa nyota wa klabu ya Tottenham ili kujenga kikosi chao. Kikosi hicho cha Bayern kinaangazia …
Ramos Aweka Rekodi Mpya!
Huwa ni jambo linalovutia pale inapotokea mchezaji anafikia hatua fulani kihistoria ambayo haijawahi kufikiwa na mwingine au pale nyota fulani anapoweka rekodi kwa kuvunja rekodi ambayo iliwekwa na nyota mwingine. …
Miiko Yavunjwa Iran
Maelfu ya wanawake wameruhusiwa kushangilia mechi zinazohusisha timu yao ya taifa mara baada ya kuwepo kwa kizuizi kwa taifa hilo ambalo kwa upande mmoja au mwingine lilikuwa ni kinyume na …
Fununu za Soka Barani Ulaya
Kocha wa klabu ya Juventus inayoshiriki ligi kuu ya nchini Italia anaonesha nia yake ya wazi kutaka kufanya kazi na nyota wa klabu ya Chelsea ambaye amekuwa na kiwango bora …