Kylian Mbappe Kutosaini Mkataba Mpya PSG
Daily News

Nyota wa PSG, Kylian Mbappe ambaye aliwagharimu dau la paundi milioni 180 kwenye uhamisho ameweka wazi kuwa hatarajii kusaini mkataba mpya klabuni hapo. Wakati tetesi za usajili zikipamba moto, haikudhaniwa …

Soma zaidi
Matunda ya Klopp
Champions League

Kazi kubwa ya makocha ni kuwafanya wachezaji kuwa na nafasi kubwa ya kufanya vizuri na kuonesha ile siri yao ya ndani kiuwezo katika kuisaidia timu. Klopp ni kati ya makocha …

Soma zaidi
Antonio Valencia Alamba Mkataba Klabu Mpya
Football

Aliyekuwa nyota wa Manchester United, Antonio Valencia amefanikiwa kusainisha mkatataba na klabu mpya. Antonio alikuwa nahodha wa klabu ya Man United kabla hajaachiwa kusepa mwisho wa msimu uliopita. Alikuwa nahodha …

Soma zaidi
Rooney Amechomoa Ofa Kibao za Umeneja.
Football

Nyota wa Zamani wa machester United Wyne Rooney, ambaye kwa sasa anachezea klabu ya DC United anasema kuwa amechomoa ofa kibao tu za kuchukua majukumu ya umeneja ili aweze kuzingatia …

Soma zaidi
Pesa Siyo Lugha
Champions League

Kuna msemo mmoja husema kwamba “Lugha ya Kiingereza sio rahisi”. Hilo jambo linaweza kuwa ni jibu sahihi kabisa kwa sababu baadhi ya nyota hata hawajaribu kujifunza hiyo lugha. Japo wapenda …

Soma zaidi
Messi Bandia: Hiki Ndiyo Kisa chake
Football

Kuna jamaa mmoja kutoka Iran anafanana sana na nyota wa Barcelona Lionel Messi. Bwana huyu ambaye jina lake halisi ni Reza Parastesh, amefanana mno na Leo na anapenda kuvaa jezi …

Soma zaidi
Ligi Kuu Uingereza 2019/20
Champions League

Msimu mpya wa ligi ya Uingereza ambayo ni ligi pendwa na inayofuatiliwa na wengi duniani kote utaanza kutimua vumbi mapema mwezi wa nane tarehe 9 lakini jicho la kila shabiki …

Soma zaidi
Jicho la Barcelona latua kwa Lindelof
Football

Baada ya kuonekana wamemshinda nyota kutoka Ajax Matthijs De Light Barceolona wanaonekana kuwa na mpango wa kumnasa mlinzi wa Manchester United Victor Lindelof. Barcelona wanatajwa kuwa wanahitaji kuipa nguvu safu …

Soma zaidi
David Silva: Miaka 10 Inatosha
Football

Miaka 10 inatosha kwa David Silva! Silva ametangaza kuondoka klabu ya Manchester City msimu mwisho wa msimu ujao 2019/20 baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka 10. Nyota huyu mwenye …

Soma zaidi
Arsenal Kudaka Mmoja wa Salzburg
Champions League

Hivi juzi wakati wa mechi nzito kati ya Chile na Uruguay kulitokea kioja kikubwa kwa mchezaji mkubwa kama Suarez kutaka kufanya udanganyifu uwanjani kwa kumshawishi muamuzi kuita mpira wa penati …

Soma zaidi