Iran Atachomoka kwa Ureno Leo?
Football

Uwanjani leo kuna jumla ya mechi nne kwenye Kombe la Dunia na kocha Carlos Queiroz atakuwa akikiongoza kikosi chake katika kusaka taji hilo na mechi yao leo ni dhidi ya …

Soma zaidi
Usajili: Real Madrid Yamnasa wa Ukraine, De Gea Hana Chake!
Football

Real Madrid imesaini mkataba wa muda wa miaka 6 na mchezaji kinda Andriry Lunin. Huyu anatokea Ukraine kwa klabu ya Zorya Luhansk. Kwa sasa kinda huyo ana umri wa miaka …

Soma zaidi
Modric Ataiokoa Croatia Mbele ya Messi?
Football

Leo ndiyo leo dimbani! Ivan Rakitic, Luka Modric na Ivan Perisic ni viungo bora kwenye michuano ila walishindwa kabisa kufanya kitu kwenye hatua ya makundi kwenye mara tatu za mwisho …

Soma zaidi
Eriksen Anaibeba Denmark Leo
Football

Hii inakuja ikiwa ni baada ya wao kukosa kupenya mwaka 2014 ambapo sasa timu ya taifa ya Denmark inakwaana na mataifa kadhaa kuhakikisha wanafanikiwa kwenye Kombe la Dunia. Mchezaji Eriksen …

Soma zaidi
Kombe la Dunia: Falcao Kuiwezesha Colombia?
Football

Alasiri ya leo dimbani kocha wa Colombia, Jose Pekerman pamoja na mchezaji wake staa Radamel Falcao watakuwa dimbani kuumana na Japan kwenye gemu za ufunguzi wa Kundi H la michuano …

Soma zaidi
Tunisia Wataitetemesha Uingereza?
Football

Nabil Maaloul ambaye ni kocha wa taifa la Tunisia anakiongoza kikosi chake kuwinda taji la Kombe la Dunia leo hii! Ikiwa ni mara baada ya wao kuonekana kwenye fainali 3 …

Soma zaidi
Gotze Kutia Maguu Arsenal?
Bundesliga

The Mirror wanaripoti kuwa klabu ya Washika Mitutu wa Arsenal wanalo lengo la kumfanyia usajili mchezaji nafasi ya kiungo wa kati wa Borussia Dortmund, Mario Gotze wa Ujerumani. Kiungo huyu …

Soma zaidi
Tabarez Ataiongoza Vyema Uruguay?
Football

Kocha mkuu wa taifa la Uruguay, Oscar Tabarez anakiongoza kikosi chake leo ikiwa ni baada ya kampeni ya mwisho ya Uruguay kwenye Kombe la Dunia iliyoshuhudiwa Suarez akimng’ata Giorgio Chiellini! …

Soma zaidi
Kombe la Dunia: Kikosi cha Brazil Hiki Hapa
Football

Hiki hapa ni kikosi kamili cha Brazil kuelekea Kombe la Dunia mwaka huu kule nchini Urusi: Walinda lango: Alisson (Roma), Ederson (Manchester City), Cassio (Corinthians). Mabeki: Danilo (Manchester City), Fagner …

Soma zaidi
Benitez Kuungana na Skrtel
Football

Inadaiwa kwamba mkufunzi wa klabu ya soka ya Newcastle, Rafael Benitez anahitaji kuungana tena na msakata kandanda Martin Skrtel ambaye ni beki wa zamani wa klabu ya Liverpool siku za …

Soma zaidi