“Fred Amejiunga na Klabu Kubwa Sana!” – Willian
Football

Willian ambaye ni kiungo wa Chelsea na ambaye kwa sasa ni mmoja wa wasakata kabumbu ambao wanaunda timu ya taifa ya Brazil amefunguka na kusema kwamba Fred amejiunga na timu …

Soma zaidi
Hofu ya Mourinho kwa Gareth Bale
Football

Kwa mujibu wa chanzo cha habari za michezo cha Daily Express inadaiwa kwamba meneja wa Manchester United, Jose Mourinho ana hofu juu ya ushindani wa malipo ya kifedha kwenye usajili …

Soma zaidi
Lazio Kuuza Mmoja kwa Man U
Football

Vyanzo kadHaa vya habari vinasema kuwa Mashetani Wekundu wamepeleka maombi yenye thamani ya euro milioni 96 kwa moja ya klabu kubwa maarufu za huko Italia, Serie A. Ombi lao ni …

Soma zaidi
Kikosi cha Argentina Kombe la Dunia; Icardi Nje
Football

Wachezaji washambuliaji akina Lionel Messi, Sergio Aguero, Paulo Dybala na Gonzalo Higuain wametajwa kwenye kikosi cha wasakata kabumbu 23 ambao wataiwakilisha nchi ya Argentina katika michuano ya kuwania Kombe la …

Soma zaidi
Chelsea na Manchester United Uwanjani!
Football

Leo hii kuna gemu kali ambayo ni mechi ya Fainali ya kuwania Kombe la FA. Gemu hii ni kati ya mahasimu wawili wakongwe Chelsea na Manchester United wote wa huko …

Soma zaidi
Kombe la Dunia: Kikosi cha Ureno na Jezi
Football

Ikiwa zimesalia siku chache sana kuanza kwa michuano ya kuwania Kombe la Dunia huko Urusi mwaka huu hiki hapa ni kikosi cha taifa la Ureno: Walinda lango: Anthony Lopes (Lyon), …

Soma zaidi
Guardiola: Heshima ya Kombe Inaenda kwa Wanangu!
Football

Baada ya juzi kuvishwa taji la Ligi Kuu ya Uingereza, meneja wa klabu mabingwa Manchester City, Pep Guardiola amesema kwamba atawapa wanaye medali yake ya kwanza ya ushindi alioupata! Meneja …

Soma zaidi
Dyabala Kutua Bayern?
Bundesliga

Tetesi za soka zilizovuma mwishoni mwa juma hili zinadai kwamba klabu ya soka ya Bayern Munich inao mpango wa kuwasilisha maombi yake ya kumfanyia usajili mchezaji mshambuliaji wa klabu kongwe …

Soma zaidi
Usajili Ujao wa Man United
Football

Klabu ya soka ya Manchester United itampatia kipaumbele mchezaji beki wa kushoto wa klabu ya Juventus na Brazil, Alex Sandro ambaye ana miaka 27 kubeba nafasi ya mchezaji beki wa …

Soma zaidi
Huku Liverpool na Salah, Kule Barca na Umtiti!
Football

Habari zinaelezea kwamba mkufunzi wa klabu ya soka ya Liverpool, Jurgen Klopp amefunguka na kusema kwamba uwezekano wowote wa mshambuliaji wa Misri, Mo Salah kuuzwa mwisho wa msimu huu haupo …

Soma zaidi