afcon - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Kikosi Kipya cha Stars

Champions League

Tunaelekeza jicho letu kwenye michuano ya mataifa ya Afrika [AFCON] ambapo timu ya taifa ya Tanzania inashiriki ndani ya michuano hiyo kwa mwaka huu baada ya kupata nafasi ya kufuzu …

Waingereza Wamtamani Samatta

Champions League

Kuna taarifa zinaendelea kugonga vichwa vya habari kwamba klabu za Uingereza tayari zimeanza kuvutiwa na nyota wa Kitanzania, Mbwana Samatta anayekipiga katika klabu ya KRC Genk kwa mafanikio makubwa sana …

Tanzania Ndani ya Kundi la Kifo!

Daily News

Hatua ya upangaji wa makundi yatakayochuana mapema mwezi wa sita kwenye michuano ya AFCON yamekamilika. Katika hatua hiyo kila taifa litacheza na mwenzake aliye kwenye kundi hilo ili kutafuta alama …

Waliotangulia Cameroon ni Hawa Hapa…

Football

Mpaka sasa jumla ya timu 64 kutoka kwenye makundi 12 zinafukuzia nafasi 24 za kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (AFCON) ambazo zitafanyika nchini Cameroon mwakani na ushindani mkubwa upo …

Usajili: Wanaomuwinda Samatta

Football

Mbwana Ally Samatta ambaye ni staa kutokea nchini Tanzania anayeichezea klabu ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji amezidi kutisha sana na sasa anawaniwa na klabu kubwa kadhaa za huko Ulaya! …

1 2 3 18 19 20 21
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.