This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Chelsea na Manchester United Uwanjani!
Leo hii kuna gemu kali ambayo ni mechi ya Fainali ya kuwania Kombe la FA. Gemu hii ni kati ya mahasimu wawili wakongwe Chelsea na Manchester United wote wa huko …
Kombe la Dunia: Kikosi cha Ureno na Jezi
Ikiwa zimesalia siku chache sana kuanza kwa michuano ya kuwania Kombe la Dunia huko Urusi mwaka huu hiki hapa ni kikosi cha taifa la Ureno: Walinda lango: Anthony Lopes (Lyon), …
Guardiola: Heshima ya Kombe Inaenda kwa Wanangu!
Baada ya juzi kuvishwa taji la Ligi Kuu ya Uingereza, meneja wa klabu mabingwa Manchester City, Pep Guardiola amesema kwamba atawapa wanaye medali yake ya kwanza ya ushindi alioupata! Meneja …
Dyabala Kutua Bayern?
Tetesi za soka zilizovuma mwishoni mwa juma hili zinadai kwamba klabu ya soka ya Bayern Munich inao mpango wa kuwasilisha maombi yake ya kumfanyia usajili mchezaji mshambuliaji wa klabu kongwe …
Usajili Ujao wa Man United
Klabu ya soka ya Manchester United itampatia kipaumbele mchezaji beki wa kushoto wa klabu ya Juventus na Brazil, Alex Sandro ambaye ana miaka 27 kubeba nafasi ya mchezaji beki wa …
Huku Liverpool na Salah, Kule Barca na Umtiti!
Habari zinaelezea kwamba mkufunzi wa klabu ya soka ya Liverpool, Jurgen Klopp amefunguka na kusema kwamba uwezekano wowote wa mshambuliaji wa Misri, Mo Salah kuuzwa mwisho wa msimu huu haupo …
Wakala: Bale Haondoki Msimu Huu!
Wakala wa Gareth Bale ambaye ni mshambuliaji wa Wales ameongea kuhusiana na suala la uhamisho wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28. Kwa maneno yake wakala anasema kwamba Bale …
Juventus Wasanda kwa Bellerin!
Wakali wa kabumbu kule nchini Ufaransa, Juventus wameamua kusitisha harakati zao za kumnasa mchezaji beki kamili wa Hispania anayekipiga kwa Washika Mitutu. Bellerin ana umri wa miaka 23 na hatua …
Bale Ndani ya China!
Habari zinadai kuwa Real Madrid ya Hispania imekubali ombi la dau la paundi milioni 113 la mchezaji wao winga, Gareth Bale! Mchezaji huyu ana umri wa miaka 28 kwa sasa …
Kante: Chelsea ni Nyumbani; Siendi PSG!
Mchezaji kiungo wa kati wa klabu ya soka ya Chelsea na Ufaransa, N’Golo Kante amefungukia uvumi wa yeye kuhamia klabu ya Ufaransa ya PSG. Kiungo huyu mwenye umri wa miaka …