Mbappe Anavyomuelewa De Jong
Football

“Mtazamo wake kwenye gemu na ubora wa pasi zake unamfanya awe wa thamani kubwa. Anakaribishwa Paris Saint-Germain! Naongea mazuri yake sababu atatusaidia sana akiwa hapa!” Haya ni maneno ya Kylian …

Soma zaidi
Ishara ya Paulo Dyabala Ina Maana Gani?
Football

Nyota wa Juventus, Paulo Dyabala amekuwa maarufu kwa staili yake ya kushangilia ambayo huonyesha ishara Fulani kama maski. Watu wengi wanaweza kujua jamaa hufanya hivyo kwa sababu tu huwa anashangilia …

Soma zaidi
Balotelli Alalama Kutoheshimiwa na Mashabiki wa Milan
Football

Mshambuliaji wa Nice, Mario Ballotelli amelalamika kuwa mashabiki wa AC Milan wameshindwa kutambua mchango wake na kumheshimu baada ya kuitumikia klabu hiyo. Nyota huyu alizungumzia tetesi za yeye kurejea kwenye …

Soma zaidi
Asingekuwa Modric, Angebeba Ronaldo Ballon d’Or
Football

Luka Modric ameshinda tuzo hii kwa mara ya kwanza na kuivunja rekodi ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo walioitawala tuzo hii kwa miaka 10. Messi kwa mara ya kwanza toka …

Soma zaidi
Klopp Asisitiza, Alishindwa Kujizuia!
Football

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp alijikuta akiingia uwanjani kwa bashasha na kumkimbilia golikipa Alisson Becker baada ya Divock Origi kuchapa bao dakika za majeruhi. Furaha ya kocha huyu imepelekea alipishwe …

Soma zaidi
Macho ya Chelsea Yapo Huku…
Bundesliga

Kwa mara ya kwanza Chelsea wamewasiliana rasmi na Borussia Dortmund juu ya nia yao ya kutaka kumsajili winga wa Marekani, Christian Pulisic ambapo inasemekana kwamba klabu hiyo ya Ujerumani itataka …

Soma zaidi
Droo ya Euro 2020, Cheki Makundi Hapa!
Football

Droo ya michuano ya Euro 2020 hii hapa! Cheki timu zilivyotajwa, Uingereza wameweza kumkwepa Ujerumani, Wakati Croatia anakutana na Wales kundi moja huku Northern Ireland analazimika kumenyana na Netherlands kundi …

Soma zaidi
United Waongeza Mwaka Kwenye Mkataba wa De Gea.
Football

Golikipa maridadi wa Manchester United, David de Gea alikuwa amekuwa akiripotiwa kusua sua kutia saini mkataba mpya pale Old Trafford. Siku chache zilizopita alinukuliwa akisema kuwa yeye kwa sasa anazingatia …

Soma zaidi
UCL: United na City Wavuka!
Champions League

Baada ya michezo ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya kuanza tena wiki hii sasa tumeshuhudia klabu mbili kubwa zikiwika. Manchester United na Manchester City wavuka! Kwenye misimu 16 ambayo Jose …

Soma zaidi
Gemu ya PSG Kuamua Kuhusu Fabinho
Champions League

Leo hii macho yote yatakuwa pale uwanjani Parc des Princes wakati klabu ya Ligue 1, PSG na Liverpool ya Uingereza wakiwa wanaumana uso kwa uso. Wote wana hamu ya kufuzu. …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.