This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
McQueen kwa Mkopo Middlesbrough
Kijana machachari kutoka Southampton, Sam McQueen rasmi sasa anajiunga na Middlesbrough. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 23 ni zao kutoka katika mfumo wa vijana wa Southampton, anauwezo wa kucheza mbele …
Sandro Ramirez Atatua Real Sociedad
Winga wa mbele wa Everton, Sandro Ramirez anaandaliwa kuondoka katika klabu hiyo kwenda kujiunga na Real Sociedad kabla ya dirisha la uhamisho Hispania kufungwa ijumaa hii. Sandro, alihamia Everton akiwa …
Sterling na Madrid; Mambo Kunoga!
Imewekwa wazi kuwa klabu ya soka ya Real Madrid inamtaka mchezaji mshambuliaji wa klabu ya soka ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza chini ya bosi Pep Guardiola, Raheem …
Mayweather Amemjibu McGregor
Vita ya maneno kati ya Floyd Mayweather na Conor McGregor inaendelea kuwa ya moto baada ya mbabe wa McGregor, Mayweather kumjibu mkali huyu aliyemtemea maneno ya shombo kufuatia mualiko wake. Mayweather …
Barca: Pogba, Rabiot au De Jong?
Barcelona bado wana matumaini kuwa watawasajili wachezaji wawili kati ya watatu wanao wafukuzia ambao ni Pogba, Rabiot na De Jong kabla ya ijumaa. Dirisha linakaribia kufunga ijumaa ya tarehe 31 …
Frenkie de Jong: Siendi Tena Barca
Staa wa Ajax Frenkie de Jong anasema hana mpango tena wa kwenda Barcelona katika msimu huu. Jong ambaye alifikiria kuwa huenda angejiunga na Barca, amekacha mtazamo wake na kusisitiza kuwa hawezi kuondoka …
Johanna Konta Nje Us Open 2018
Bingwa wa kike wa Tenisi kutoka Uingereza, Johanna Konta ametolewa katika michuano ya Us Open baada ya kuchapwa kwa seti ya 6-2 6-2 na Caroline Garcia. Michuano hii ambayo huwahusisha mabingwa …
Danny Rose Apambana Kubaki Spurs
Mchezaji wa Tottenham Danny Rose anapambana kuendelea kuwepo Spurs kutokana na mafanikio ya timu hiyo. Danny alikuwa anatarajiwa kujiunga kwa mkopo Paris Saint-Germain au Marseille. Danny sasa anakataa dili la …
Sheyi Ojo Kuiacha Liverpool
Winga wa liverpool Shey Ojo yuko mbioni kusepa Liverpool na Kujiunga na klabu ya ufaransa ya Stade Reims kwa kipindi kilichobakia katika msimu. Winga huyu mwenye umri wa miaka 21, …
Mignolet: Sijui Hatma Yangu Hapa!
Golikipa wa klabu ya soka ya Liverpool, Simon Mignolet anasema kwamba anashangazwa sana na suala la klabu hiyo ya Anfield kumpa ruhusa golikipa Loris Karius kujiunga na klabu ya soka …