This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Woods Aongelea Uhusiano na Trump
Bingwa wa mchezo wa gofu, Tiger Woods amegusia kuhusu uhusiano wake na raisi wa Marekani bwana Donarld Trump wakati akifanyiwa mahojiano huko New Jersey. Woods alizungumzia ukaribu wake na Trump …
Ronaldo Angejifunza kwa Messi
Aliyekuwa kiungo wa Real Madrid Rafael Van Der Vaart anasema Ronaldo angejifunza kutoka kwa Messi na kubakia Real Madrid. Ronaldo ambaye aliondoka Real na kujiunga na Juventus alikuwa mchezaji muhimu sana …
Uso kwa Uso Mourinho na Pochettino Leo
Man utd anamkaribisha Tottenham wa Pochettino pale Old Trafford, wote wamecheza mechi mbili mpaka sasa. Wakati Spurs akianza vizuri kwa kushinda mechi zake zote dhidi ya Newcastle United na Fulham, …
Mario Mandzukic Achomoa Kwenda Man Utd
Straika wa Juventus Mario Mandzukic amechomoa ofa ya kuhama Juventus na kujiunga na mashetani wekundu. Mwanzo ililipotiwa kuwa Mourinho alikuwa anamfukuzia straika huyo kwa mbinde. Mario Mandzukic ambaye ana umri wa miaka …
Wolverhampton Amemkazia Man City
Gemu imeisha kwa sare ya 1-1. Wolves amekutana na Man City leo akiwa na mzimu wa kichapo 2-0 kutoka kwa Leicester huku akitoa sare na Everton akikutana na mbabe aliyewachapa …
Aston Villa Wamnasa Bolasie!
Winga wa Everton Yannick Bolasie amejiunga Aston Villa kwa mkopo msimu mzima. Bolasie amekuwa mchezaji wa 4 kwa Aston Villa kusajiliwa kwa mkopo baada ya kuwasajili wengine wa 3 ambao …
Sarri: “Nina Deni Kubwa kwa Benitez”
Bosi wa Chelsea, Maurizio Sarri anasema anadaiwa deni kubwa la fadhila kwa Rafael Benitezi wa New Castle United. Bosi huyu aliipotea timu ya Napoli kutoka katika mikono ya Benitez mwaka …
Arsenal Atachomoka Leo?
Arsernal wa Unai Emery leo anamkaribisha West Ham United pale Emirates Stadium. Washika mtutu na washika nyundo wote wana njaa ya kupata pointi leo baada ya kuanza vibaya. Je nani …
Everton Watampoteza Ademola Lookman!
Winga wa Everton, Ademola Lookman anaripotiwa kuwa ameshaandaliwa kuondoka Everton kujiunga na RP Leipzig. Taarifa hizi zimeripotiwa na chanzo cha habari cha The Mirror kuwa tayari mchezaji huyu yuko mbioni …
“Arsenal Hawahitaji Kombe”
Aliyewahi kuwa mchezaji wa Arsenal Alan Smith amesema kwa sasa Arsenal hawahitaji kushinda ubingwa, inahitaji tu mabadiliko chanya. Alan Smith amesema hayo kufuatia washika mtutu hao kuanza vibaya msimu wakiwa …