City Kutumia Paundi 350M Usajili
Timu zimeanza kuweka mezani mipango ya kutumia pesa nyingi kuwabamba wachezaji wakali msimu huu unakuja wa joto. Manchester City kama klabu zingine nao kama kawaida wapo kwenye mpango wa kukipa …
Valencia Anavyowaaga United
Nahodha wa Manchester United, Antonio Valencia ametoa ujumbe wake wenye hisia kali kwa mashabiki wake baada ya klabu kushindwa kuongeza kushinikiza ongezeko la mwaka mmoja kwenye mkataba wake klabuni hapo. …
Ngoma Droo Spurs Wamshindwa Mgeni
Mauricio Pochettino aliingia dimnani leo dhidi ya Arsenal akiwa ameshapoteza matumaini kabisa ya kutwaa taji msimu huu. Kabla ya gemu ya leo alisisitiza kuwa Spurs wanahitaji muujiza labda ili waweze …
Nani Unampa Umeneja wa Mwezi Februari?
Unampa Nani Umeneja wa Mwezi? Mameneja watatu wameingia kwenye kinyang’anyiro cha meneja bora wa mwezi kwenye Ligi Kuu ya Uingereza. Mameneja hawa ni Ole Gunnar Solskjaer wa Manchester United, Unai …
Valencia Anasepa United, Ukepteni je
Klabu ya Manchester United wanaripotiwa kuwa wameamua kumchagua mchezaji mwingine atakayechukua nafasi ya Valencia kama nahodha wa klabu hiyo ikiwa nyota huyo atasepa klabuni hapo. Nani atauvaa ukepteni? Taarifa zinadai …
Mipango ya Pellegrini Msimu Ujao!
Meneja wa West Ham, Manuel Pellegrini ameweka wazi mipango yake kwa msimu unaofuata akisisitiza klabu yake kumaliza katika sita bora kwenye Ligi Kuu ya Uingereza msimu ujao. Meneja huyu ambaye …
Majanga ya Pochettino
Tottenham wameendelea na majanga ya kupokea vipigo hivi karibuni baada ya kuoneshwa kazi ngumu na Chelsea ambao walimchezea mchezo ambao uliwafanya wapotee kabisa mchezoni na kuonekana kama hawapo kabisa mchezoni …
Utamu wa El Classico
Katika siku ambazo wapenzi wengi wa soka hupenda kuziona ni pale miamba wa soka na wenye tambo nyingi juu ya mapato yao na uzuri wa vikosi vyao wanapokutana kwenye mchezo. …