Nyota Matajiri wa Nigeria…
Nigeria ina wachezaji nyota wengi wanaocheza soka la kulipwa nje ya mipaka ya nchi hiyo. Kwa sababu hiyo wana kipato kikubwa ambacho kinawafanya waweze kutimiza mahitaji yao ya kila siku. …
Piatek Mbioni Kuwafuata Milan
Mshambuliaji wa Genoa, Krzysztof Piatek anatarajiwa kuingia AC Milan kuziba pengo lililoachwa na Gonzalo Higuain ambaye tayari anaripotiwa kwenda Chelsea kukamilisha dili lake la mkopo. Piatek anatarajiwa kuwafuata kwa paundi …
Sintofahamu Kutoweka kwa Sala
Hali ya sintofahamu imeendelea kutawala kwa familia na wapenzi wa mwanasoka aliyekuwa akikipiga kwenye klabu ya Nantes, Emiliano Sala (28). Kutoweka kwake kunaumiza vichwa polisi kubaini mahali ambapo anaweza kuonekana …
Henry Anaihofia Monaco Kuliko Hatma Yake
Baada ya Monaco kutemwa kwenye michuano ya Coupe de France na klabu ya Metz ambayo inashiriki League 2, Thierry Henry anasema anaihofia zaidi hatma ya klabu hiyo kuliko hatma yake …
Uchambuzi: Chini ya 23 Wanaotesa Ligi Kubwa
Kuna baadhi ya wachezaji walio na umri wa chini ya miaka 23 wanaofanya mambo makubwa sana katika umri wao. Baadhi ya wachezaji hao wamekuwa nguzo kubwa katika ngazi ya klabu …
Uingereza: Mbovu za Chelsea
Kuna wakati mchezaji anaweza kusajiliwa katika kikosi cha klabu fulani kwa malengo ya kufanya vizuri katika kikosi husika au kukiwa na lengo kwamba yale aliyokuwa anayafanya upande wa kwanza yatakuwa …
Hapa Hamna Usiyempenda!
Duniani kuna aina fulani ya wachezaji ikitokea kuna mmoja wapo unamchukia yupo mwingine ambaye kwa namna youote ile lazima umpende. Hii ni kutokana na ushindani, uwezo au kuna wakati aliwahi …
Mourinho Haishiwi Maneno!
Aliyewahi kuwa kocha wa Manchester United, Jose Mourinho ambaye aliweza kupumzishwa na uongozi wa timu hiyo kutokana na mwenendo mbovu na matokeo mabovu ndani ya kikosi hicho; bado amekuwa ni …
Cole Kuungana na Lampard
Cole [38] anaonekana kutaka kuungana na mchezaji mwenzake wa kipindi cha nyuma Lampard katika klabu ya Chelsea. Wachezaji hao waliachana kwa kitambo kidogo baada ya kustaafu soka la ushindani pale …
Tetesi: Rashford Kusaini Dili Zito Trafford!
Mchezaji huyo kwa sasa amefanikiwa kubadilika kwa kiwango kikubwa sana tofauti na alivyokuwa mwanzoni, pongezi nyingi zimfikie Ole ambaye kwa nafasi yake anefanikiwa kymtengeneza na amejua namna ya kumtumia mvhezaji …

