Sanchez: Bado Nakomaa Kuyaelewa Mazingira!
Mwanasoka Alexis Sanchez ametoa msisitizo kwamba yeye atazimudu changamoto zinazomzunguka kuhusiana na kiwango chake na kuwa atakuwa staa pale Manchester United anakokipiga kwa sasa. Mchezaji winga huyo wa Chile ana …
Hughes ni wa Watakatifu Tena!
Southampton imethibitisha kwamba Mark Hughes ndiye meneja wao wa kikosi cha kwanza klabuni hapo! Hughes amepata kibarua hicho kwa mkataba unaoenda mpaka mwishoni mwa msimu huu na jukumu lake la …
Willian Kunaswa na United!
Inadaiwa kwamba klabu ya soka ya Manchester United imehitaji kumfanyia usajili mchezaji kiungo wa kati wa klabu ya Chelsea na Brazil, Willian. Wanataka kufanya hivi mwishoni mwa msimu huu wakati …
Marco Silva Kuchukua Nafasi ya Kocha Southampton
Inadaiwa kwamba Marco Silva ambaye alikuwa ni mkufunzi wa klabu ya soka ya Watford ni moja wapo ya wakufunzi wanaoonekana kwamba ni dhahiri watachukua kazi ya kuifudisha klabu ya soka …
Klabu 4 EPL Zinamfukuzia Mmoja
Habari zinasema kwamba klabu za soka za Watford, Liverpool, Arsenal na West Ham zote zinamuwinda msakata kabumbu nafasi ya kiungo cha kati wa Benfica, Bryan Cristante wa Ureno. Pamoja na …
Klopp: Liverpool Tupo Tayari Kukutana na Yeyote!
Mara baada ya kupita kwenye hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, sasa kocha wa klabu ya soka ya Liverpool, Jurgen Klopp amedai kwamba yeye hajali ni timu …
Nyanda Thibaut Courtois na Dili la Usajili!
Kumekuwa na mazungumzo kuhusiana na mkataba mpya kati ya Courtois na klabu yake ya Chelsea ambayo yamesogezwa mbele mpaka majira ya joto msimu huu. Mazungumzo hayo yanatokana na habari kwamba …
Madrid Kutua City!
Moja ya tovuti za habari za soka zinadai kwamba klabu ya soka ya Real Madrid inamfanyia uchunguzi mchezaji nafasi ya winga wa klabu ya Manchester City ya kule Uingereza! Anayezungumziwa …
Wanne Wanamnyatia Benzema
Kwa mujibu wa AS inadaiwa kwamba mchezaji nafasi ya mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid, Karim Benzema anafukuziwa na vilabu vinne huko majuu! Mchezaji huyu mwenye umri wa miaka 30 …
Ni Ama Kifungo au Sanchez Alipe Faini!
Msukuma gozi mpya wa Mashetani Wekundu wa jiji la Manchester, Alexis Sanchez amepata hukumu ya miezi 16 jela! Hii imetokana na kosa lake la ukwepaji wa kulipa kodi wakati akiwa …