Emre Can Kusalia Anfield?
Mchezaji kiungo wa kati wa klabu ya soka ya Liverpool, Emre Can anaweka wazi kwamba hajasaini makubaliano ya kujiunga na Juventus msimu huu! Anasema kuwa kwa sasa bado anaongea na …
Hekeheka za Liverpool na Usajili!
Liverpool imeamua kukacha mkakati wao wa kumsajili winga wa klabu ya Monaco, Thomas Lemarbada! Hii ni mara baada ya klabu hiyo kuomba dau la paundi milioni 90 kwa mchezaji huyo! …
Conte Kuondoka The Blues? Nani Kumrithi?
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na habari kuwa meneja wa klabu ya soka ya Chelsea, Antonio Conte ana uwezekano mkubwa wa kuondoka pale Darajani Stamford kipindi cha mwisho mwa …
The Blues Watupia Jicho Ujerumani!
Kuna habari kuwa klabu ya Chelsea inamhitaji sana mchezaji mshambuliaji wa klabu ya huko Ujerumani ya Borussia Monchengladbach na Ubelgiji aitwaye Thorgan Hazard! Mchezaji huyu ana umri wa miaka 24 …
Pep Anangojewa kwa Hamu na Fred!
Mchezaji kiungo wa kati wa klabu ya soka ya Shakhtar Donetsk na Brazil Fred ambaye ana umri wa miaka 24 anasema anangojea kwa hamu kubwa kupokea simu ya meneja Guardiola …
Vipimo Vya Afya: Barca Wagundua Kuwa Coutinho Ana Majeraha
Mwanasoka mahiri Philippe Coutinho atalazimika kukaa nje ya uwanja kwa muda wa majuma matatu! Hii ni mara baada ya vipimo vya klabu mpya iliyomsajili Barcelona kugundua kwamba staa huyo ana …
Mark Hughes Atimuliwa Stoke
Stoke City imemtimua aliyekuwa kocha wake Mark Hughes baada ya kufungwa na timu ya daraja la pili Coventry City Jumamosi katika michuano ya kombe la FA. Stoke City walipoteza kwa …
EPL Inafunga Mwaka, Nani Kutamba?
Wikiendi imewadia na ni muda wa kushuhudia mitanange ya Ligi Pendwa duniani, yaani, Ligi Kuu ya Uingereza ikiwa ni gemu za kufungia mwaka. Tumeona hekaheka za maana sana siku ya …
Carvalhal Kocha Mpya Swansea
Swansea City imemteua kocha wa zamani wa Sheffield Wednesday, Carlos Carvalhal kama kocha wao wa kudumu. Kocha mchezaji Leon Britton ndio alikuwa kocha wa muda wa Swansea tangu Paul Clement …
Rickie Lambert Atangaza Kustaafu
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uingereza na Cardiff City Rickie Lambert ametangaza kustaafu leo kucheza mpira wa miguu baada kuutumikia kwa takribani miaka 19. Lambert 35 amechezea vilabu mbalimbali …