Mendy Nje Miezi Saba
Beki wa kushoto wa klabu ya Manchester City Benjamin Mendy atakuwa nje kwa miezi saba baada ya kupata majeraha ya goti. Mendy alipata majeraha hayo katika mchezo wa ligi kuu …
Uturuki Kuwa na David Silva?
Kumekuwa na habari kutoka kwenye vyombo vya habari huko Uingereza ambazo zinaripoti kwamba mchezaji nafasi ya kiungo David Silva yupo mbioni kusepa kwenda Uturuki kukipiga kwa Fenerbahce! David Silva amekuwa …
Ubora FIFA: Tanzania Chini Zaidi, Ujerumani Juu!
Hapo juzi viwango vipya vya ubora wa FIFA vimetangazwa ambapo timu za kandanda za mataifa ya Kenya na Tanzania zimeshuka sana! Hiyo ni orodha ya kila mwezi inayotolewa na FIFA. …
Usajili wa Burnley Umevunja Rekodi Yao!
Klabu ya soka ya Burnley imemnunua mshambuliaji Chris Wood anayetokea kule Leeds United! Bei yake imetajwa kuwa ndiyo iliyovunja rekodi ya klabu hiyo katika usajili ambapo ni dau la takribani …
Usajili: Roma Ikajishtukia kwa Mahrez!
Siku kadhaa nyuma kulikuwa na habari kwamba klabu ya soka ya AS Roma imeanza kukata tamaa ya kumnasa mchezaji Riyad Mahrez! Ilikuwa ni mara baada ya wao kuona kuwa klabu …
Nyota wa AC Milan Atamaniwa na Fenerbahce
Kumekuwa na habari kuwa moja ya timu za kule Uturuki, Fenerbahce inamtamani sana nyota wa klabu ya soka ya AC Milan, M’Baye Babacar Niang na kuwa wameshatangaza kusudi la wao …
Leo ni Chelsea v Bayern: Morata Ndani, Rodriguez Ndani!
Mchana wa leo kuna mtanange mkali wa kuwania Kombe la International Champions kule dimbani National, Singapore ambao utakuwa ni kati ya Mabingwa wa Uingereza na wale Mabingwa wa Ujerumani! Katika …
Msimu Mpya: Ratiba ya La Liga
Siku kadhaa nyuma ratiba ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya huko Hispania, La Liga 2017/18 ilitoka na gemu za kwanza zitasakatwa wikiendi ya kuanzia Agosti 18. Katika wikiendi hiyo …
“Sina Papara na Wachezaji Wapya!” – Bosi wa Barca
Wakati ambapo kuna ripoti za klabu ya soka ya Barcelona kuwa ina uwezekano wa kumtoa Ivan Rakitic ili imsajili mpiga soka wa kimataifa wa huko Italia, Marco Verratti anayekipiga pale …
Imekwisha! Nyanda Joe Hart Yupo West Ham!
Kuna habari zikitanabaisha ya kuwa nyanda wa klabu ya Manchester City, Joe Hart ameshafuzu vipimo vya afya! Sasa ameshakamilisha usajili wa mkopo kukipiga kwa klabu ya West Ham United. Man …