United Kukutana na Sarriball kwenye FA
Katika upangaji wa pacha uliofanyika siku ya jana umeweza kutoa pacha ambazo kila timu itakutana nayo kwenye hatua ya tano ya michuano hiyo. Zikiwemo na klabu nyingine lakini hawa wawili …
£21.5M za PSG Kumnasa Idrisa Gueye
PSG wamekunjua dau la paundi milioni 21.5 kama ofa ya kumnasa nyota wa Everton Idrisa Gueye, lakini bado Everton wanaonekana kuhitaji bunda kubwa zaidi, angalau mara mbili ya dau lao …
FA Cup: Kuelekea Droo Raundi ya 5!
Wiki ya raundi ya 4 ya FA Cup imewaacha vichwa chini baadhi ya watabe wa Ligi Kuu ya Uingereza wakilazimika kuwa watazamaji tu. Baadhi ya timu bado zinakabiliwa na kibarua …
Tonge Laponyoka Mdomoni…
Marko Arnautovic asaini kuendelea kuwatumikia West ham kwa kipindi kingine pamoja na kupata ofa kubwa ambayo yeye anaiita yenye majaribu makubwa kuweza kutimkia China. Aliweza kuhusishwa kujiunga na klabu mbili …
Osaka na Kvitova Walizana
Mchezaji huyo wa tenisi raia wa Japan alishinda taji lake la Australian Open na kumwacha mpinzani wake Petra akitoa machozi baada ya kulikosa tajji hilo katika mazingira ambayo yeye mwenyewe …
Kapu la Fununu za Usajili Ulaya
Ikiwa wiki moja imewasalia kufungwa kwa dirisha la usajili la Januari, klabu nyingi barani Ulaya zinafanya kila linalowezekana kuweza kuendana na kasi hiyo kwa kusajili wachezaji watakaoziba nafasi zilizokuwepo katika …
Alvaro Morata Yupo Fiti Kuingia Atletico
Mshambuliaji wa Chelsea Alvaro Morata yupo fiti kuingia Atletico Madrid baada ya kufuzu vipimo vya afya. Nyota huyu sasa anatarajiwa kurejea Hispania. Morata alijiunga na Chelsea akitokea Real Madrid sasa …
Itachukua Mda Bale Kurejea Mazima?
Bosi wa Real Madrid, Santiago Solari ana wasiwasi kuwa nyota wa klabu hiyo Gareth Bale huenda akahitaji mda zaidi ili kuweza kurejea mazima katika hali yake ya kawaida na kupata …
Quatar, Japan: kwa Nini Washiriki Copa America?
Quatar ni nchi ya Mashariki ya Kati na Japani pia ni nchi ya Asia Mashariki, lakini nchi hizi zinashiriki katika michuano ya Copa America ambayo kimsingi ipo kwa ajili ya …
EPL: Walinda Mlango Bora
Kuna wakati timu inaweza ikawa bora lakini kama itakosa wazuiaji wa mipira bora katika milingoti miwili iliyosimama huweza kuwa ni tatizo kubwa zaidi litakaloifanya klabu husika kupoteza uimara wake. Hapa …

