Hali Ngumu kwa Benitez!
Alan Pardew ambaye ni meneja wa zamani wa klabu ya soka ya Newcastle anasema kwamba kwa sasa meneja Rafael Benitez anakumbana na changamoto kubwa sawa na alizokumbana nazo wakati alipokuwa …
Waliotangulia Cameroon ni Hawa Hapa…
Mpaka sasa jumla ya timu 64 kutoka kwenye makundi 12 zinafukuzia nafasi 24 za kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (AFCON) ambazo zitafanyika nchini Cameroon mwakani na ushindani mkubwa upo …
Hazard Anamuiga Ronaldo!
Wes Browsn ambaye alikuwa ni mchezaji mlinzi wa klabu ya soka ya Manchester United amesema kwamba mchezaji wa Chelsea Eden Hazard anatumia mbinu kama zile za mchezaji staa Cristiano Ronaldo …
Real Madrid Watamsubiri Mourinho?
Wakati Jose Mourinho akiwa akiripotiwa yuko mbioni kupoteza kibarua chake kufuatia mwanzo mbaya wa msimu huu pale United, Real Madrid wanaripotiwa kuwa wanatazamia kumrejesha kocha huyo Real Madrid kuichukua nafasi …
Inter: Hapa ni Nyumani –Icardi
Nahodha wa timu ya Inter Milan, Mauro Icardi amewahakikishia mashabiki na wadau wengine wa karibu na klabu hiyo kuwa Inter Milan kwake ni kama nyumbani na angependa abaki hapo kwa …
Rekodi za Messi ni Balaa!
Kama ulikuwa hufahamu hizi hapa ni rekodi za msakata kabumbu maarufu Lionel Messi kwenye Ligi Kuu Hispania, La Liga msimu wa 2006/07: Kwa sasa mshambuliaji huyo wa Barcelona Lionel Messi …
Sajili za Wabelgiji
Imebainishwa na Sun kuwa mchezaji kiungo wa kati wa Ubelgiji mwenye umri wa miaka 31, Mousa Dembele yupo tayari kuachia mkataba wake wa Tottenham ili ahamie kwenye Ligi ya China …
Kante Kulamba Mkataba Mpya
Mirror wanaripoti kuwa klabu ya soka ya Chelsea imempatia kiungo N’Golo Kante wa Ufaransa mkataba mpya ikiwa ni jitihada zao za kuhakikisha kwamba Kante anabakia Stamford Bridge kwani anasakwa na …
De Gea Kulipwa Zaidi United
Manchester United wanaripotiwsa kuwa wanafanya kila wawezalo kuongeza mkataba wa mlinda mlango wao David De Gea. Mkataba wa nyota huyu unaisha mwezi Juni mwakani, itakuwa hasara kubwa kwa klabu hii …
Hazard: Nilisikitika Mourinho Kutimuliwa
Eden Hazard amefichua kuwa alimtumia ujumbe Jose Mourinho akimuelezea masikitiko yake baada ya meneja huyo kutimuliwa kazi pale Chelsea mwaka 2015. Mourinho alitimuliwa kazi baada ya kuchapwa na Leicester City …

