Karibu Mgeni kwa Sarri ni Maumivu Tu!
Hapo jana Sergio Aguero aliweza kupachika magoli mawili ambayo yalikuwa ni ya 200 na 201 kwake ndani ya kikosi cha klabu ya soka ya Manchester City na ikawa ni msaada …
Ujerumani Inamngoja Luke Shaw!
Luke Shaw ambaye ni mchezaji wa safu ya ulinzi akiwa na umri wa miaka 23 kwa sasa anafurahia sana kuuona mwaka wake wa mwisho wa mkataba wake klabuni Manchester United. …
Wayne Rooney Aanza kwa Maumivu!
Wayne Rooney ambaye ni mchezaji mshambuliaji wa zamani wa klabu ya soka ya Manchester United na Everton ametupia bao lake la kwanza akiwa na klabu yake mpya ya DC United! …
Sajili za Man City Hizi…
Hawa ni wachezaji wapya ambao wamesajiliwa na klabu bingwa ya Manchester City msimu huu wakati wa majira ya usajili wa kiangazi: Riyad Mahrez (Leicester, 68m euros), Philippe Sandler (Zwolle, 2.5m …
Messi Kuungana na Samatta
Mchezaji mshambuliaji wa Tanzania na KRC Genk, Mbwana Ally Samatta yupo katika majadiliano na Levante ya huko Ligi Kuu ya Hispania ili kuona namna wanavyoweza kukamilisha mpango wa yeye kuhamia …
Usajili: Mourinho Anataka Beki wa Kati Mkali!
Jose Mourinho anatakiwa kumpiga bei beki mmoja wa kati ili asajili wakali wengine kwenye timu yake ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza. Amesema kuwa anataka msimu ujao awe …
Waturuki Kumnasa wa Uingereza?
Klabu ya Uturuki, Fenerbahce imewasilisha maombi ya kumfanyia usajili mchezaji mshambuliaji wa klabu ya EPL Ligi Kuu ya Uingereza, Tottenham na Uholanzi, Vincent Janssen. Janssen ana umri wa miaka 24 …
Mbappe: Messi Habebi Ballon d’Or, Nafasi Ninayo!
Mchezaji kinda, Mbappe amemkataa kabisa Messi na kumpa nafasi Ronaldo katika mbio za kuwinda taji la Ballon d’Or ambapo staa huyo wa Paris Saint-Germain amemtaja mshambuliaji huyo mpya wa Juventus, …
Henry Kutia Maguu Uingereza
Mchezaji mshambuliaji wa kitambo klabuni Arsenal, Thierry Henry aliyepo kwenye kikosi cha ukocha wa taifa la Ubelgiji amekubali kwa maneno kuchukua uongozi wa Aston Villa ya Uingereza. Inadaiwa kuwa anaenda …
Ujerumani Yakataa Tuhuma za Ozil!
Shirikisho la Kandanda Ujerumani limekataa katukatu kuhusika na tuhuma za ubaguzi kwa mchezaji Mesut Özil na kuwa lilipaswa kuwajibika kuhakikisha kuwa mchezaji huyo hapitii ubaguzi wowote ule. Mchezaji Özil alitangaza …

