Sarri Kutafutiwa Eneo la Fegi; Usajili wa Martial Pia!
Football

Klabu ya Chelsea inatafakari juu ya wao kukubali kumpiga bei mchezaji kiungo wao wa kati wa huko Brazil, Willian kwa dau linalotajwa kuwa ni £65m kwenda Barcelona ya huko Hispania. …

Soma zaidi
Dharau na Kubaguliwa Kwamuondoa Ozil Ujerumani!
Football

Msakata kabumbu Mesut Ozil amejitoa kucheza kwenye timu ya taifa ya Ujerumani! Anasema kuwa yeye amestaafu kwa sababu ya ubaguzi wa rangi na dharau kutoka kwa Chama cha Soka Ujerumani …

Soma zaidi
Ipswich Nao Wamo!
Football

Daily Star wanaweka wazi kuwa Sheffield United wamewasilisha maombi ambayo yamevunja rekodi kwa £5m kwa ajili ya mshambuliaji wa Uingereza, Martyn Waghorn. Mshambuliaji huyu ana umri wa miaka 28 kwa …

Soma zaidi
Napoli Walishamuwinda Ronaldo
Football

Aurelio de Laurentiis ambaye ni Rais wa Napoli amesema kuwa timu yake ya Serie A ilipendezwa sana na huduma ya Cristiano Ronaldo kabla ya mchezaji huyu wa Ureno kujiunga na …

Soma zaidi
Madrid Wajitoa kwa Hazard na Thibaut
Football

Moja ya klabu kubwa za La Liga, Real Madrid iko tayari kutoa dau la paundi milioni 200 ili waweze kumnasa mchezaji Eden Hazard wa klabu ya Chelsea inayokipiga Ligi Kuu …

Soma zaidi
Liverpool: Ratiba ya Pre-season 2018/19
Football

Hizi hapa ni mechi za kirafiki watakazocheza Liverpool kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa EPL mwaka 2018/2019: Liverpool / Pre-season 2018/19: 07-7-2018/ Chester FC vs Liverpool 11-7-2018/ T. …

Soma zaidi
Juventus Wamnasa Ronaldo!
Football

Staa wa Ureno, Cristiano Ronaldo amesaini mkataba wa miaka minne na klabu ya Juventus ya huko Italia ambapo dau lake ni la dunia nzima! Mwanzo kabisa dau kubwa la fedha …

Soma zaidi
Wanaowindwa na Liverpool
Football

Moja ya klabu kongwe Ligi Kuu ya Uingereza, Liverpool ipo katika tafakuri juu ya kumnunua msakata kabumbu Grzegorz Krychowiak wa huko Poland. Mchezaji huyo kiungo wa kati ana miaka 28 …

Soma zaidi
Chelsea: Ratiba ya Pre-season 2018/19
Football

Hizi hapa ni mechi za kirafiki watakazocheza Chelsea kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa EPL mwaka 2018/2019: Chelsea / Pre-season 2018/19: 23-7-2018/ Perth Glory vs Chelsea 25-7-2018/ Chelsea …

Soma zaidi
Usajili wa Newcastle na Sekeseke Zao
Bundesliga

Klabu mbili za soka, Newcastle United na Tottenham zinaonekana zitakuja kumkosa kabisa mchezaji mshambuliaji wa klabu ya Nice na Ufaransa, Alassane Plea wakati ambao msakata kabumbu huyo ambaye ana umri …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.