Dondoo za Nusu Fainali Ufaransa na Ubelgiji
Hatua ya Nusu ya Fainali ya kwanza ya michuano ya Kombe la Dunia Urusi inatimua vumbi leo kwa mtanange mmoja kuchezwa dimbani Saint Petersburg. Itakuwa ni kati ya Ufaransa na …
Spurs: Ratiba ya Pre-season 2018/19
Hizi hapa ni mechi za kirafiki watakazocheza Tottenham Hotspurs kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa EPL mwaka 2018/2019: Tottenham Hotspur / Pre-season 2018/19 26-7-2018/ AS Roma vs Tottenham …
Washika Mitutu Kunasa wa Ufaransa, Uruguay na Ujerumani
Washika Mitutu wa klabu ya Arsenal wanasemekana kuwa wanazungumza na Lorient juu ya kumsaini Matteo Guendouzi ambaye ana umri wa miaka 19 kutokea huko Ufaransa na kwa sasa yupo kwenye …
Manchester City: Ratiba ya Pre-season 2018/19
Hizi hapa ni mechi za kirafiki watakazocheza Manchester City kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa EPL mwaka 2018/2019: Manchester City / Pre- season 2018/19: 21.7.2018/ Man City vs …
PSV na United Kukubaliana
Klabu ya Manchester United ipo tayari kuweka mezani dau la paundi milioni 40 ili wamnase mchezaji mwenye umri wa miaka 22 kutoka PSV Eindhoven ambaye pia ni mshambuliaji wa Mexico, …
Liverpool Kudumu na Karius
Endapo ulitegemea kwamba golikipa wa klabu ya soka ya Liverpool, Loris Karius atakaa benchi au kuondoka kabisa klabuni pale basi sahau kabisa kuhusu hilo. Kwa mujibu wa ripoti kutoka vyanzo …
Ulijua Hii? Ubelgiji Imetengeneza Rekodi Yake!
Hapo jana usiku mara baada ya Ubelgiji kuwatwanga Brazil kwa magoli 2-1 wamefanikiwa kuingia nusu fainali na inakuwa ni mara ya pili kwao kufikia hatua kama hii. Jikumbushe Kwa mara …
Manchester United: Ratiba ya Pre-season 2018/19
Hizi hapa ni mechi za kirafiki watakazocheza Manchester United kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa EPL mwaka 2018/2019: Manchester United / Pre-season 2018/19 20-7-2018/ CF America vs Man …
PSG Wanamtazamia Kante
Inadaiwa kwamba klabu ya huko Ufaransa ya Paris St-Germain ina lengo la kumnasa mchezaji kiungo wa kati wa nchini Ufaransa na Chelsea, N’Golo Kante. Wanamtaka msimu huu ambapo inasemekana kwamba …
Sweden Watamtoa Switzerland Leo?
Hatutegemei kwamba kocha Vladimir Petkovic akiwa na mchezaji wake staa Xherdan Shaqiri wataruhusu kuchezea kichapo mbele ya Sweden hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia mwaka huu 2018 inayoendelea kule …

