Unampa Leicester au Liverpool?
Leicester anamkaribisha Liverpool kwenye dimba la Nguvu ya Mfalme (King Power Stadium) akiwa na wenge la kupoteza gemu moja katika tatu alizocheza. Leicester amepoteza dhidi ya Man Utd kwa bao …
Siri ya Pellegrini kumkataa Yaya Toure
West Ham wanaripotiwa kuwa wamegoma dili la kumchukua Yaya Toure. Kulikuwa na ripoti kuwa Yaya Toure aliamua kubaki mjini London baada ya kuondoka Man city, hivyo alikuwa anatafuta timu atakayoitumikia …
Madrid Wanyakua Tuzo Zote!
Mabingwa Real Madrid wamepata mafanikio mengine baada ya wachezaji wake walio iwezesha timu hiyo kupata ushindi kunyakua tuzo zilizokuwa zikishindaniwa. Ukianza na Cristiano Ronaldo ambaye kwa sasa yupo Juventus, amenyakua …
Mabingwa Ulaya Nani Anao Mtiti?
Mshike mshike wa Klabu bingwa Ulaya 2018 /2019 umefunguliwa rasmi! Pazia limefunguliwa katika droo ya makundi, makundi yako wazi. Kila timu sasa inajua inakutana na mbabe gani katika msimu huu …
McQueen kwa Mkopo Middlesbrough
Kijana machachari kutoka Southampton, Sam McQueen rasmi sasa anajiunga na Middlesbrough. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 23 ni zao kutoka katika mfumo wa vijana wa Southampton, anauwezo wa kucheza mbele …
Sandro Ramirez Atatua Real Sociedad
Winga wa mbele wa Everton, Sandro Ramirez anaandaliwa kuondoka katika klabu hiyo kwenda kujiunga na Real Sociedad kabla ya dirisha la uhamisho Hispania kufungwa ijumaa hii. Sandro, alihamia Everton akiwa …
Sterling na Madrid; Mambo Kunoga!
Imewekwa wazi kuwa klabu ya soka ya Real Madrid inamtaka mchezaji mshambuliaji wa klabu ya soka ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza chini ya bosi Pep Guardiola, Raheem …
Mayweather Amemjibu McGregor
Vita ya maneno kati ya Floyd Mayweather na Conor McGregor inaendelea kuwa ya moto baada ya mbabe wa McGregor, Mayweather kumjibu mkali huyu aliyemtemea maneno ya shombo kufuatia mualiko wake. Mayweather …
Barca: Pogba, Rabiot au De Jong?
Barcelona bado wana matumaini kuwa watawasajili wachezaji wawili kati ya watatu wanao wafukuzia ambao ni Pogba, Rabiot na De Jong kabla ya ijumaa. Dirisha linakaribia kufunga ijumaa ya tarehe 31 …
Frenkie de Jong: Siendi Tena Barca
Staa wa Ajax Frenkie de Jong anasema hana mpango tena wa kwenda Barcelona katika msimu huu. Jong ambaye alifikiria kuwa huenda angejiunga na Barca, amekacha mtazamo wake na kusisitiza kuwa hawezi kuondoka …

