Sarri: “Nina Deni Kubwa kwa Benitez”
Football

Bosi wa Chelsea, Maurizio Sarri anasema anadaiwa deni kubwa la fadhila kwa Rafael Benitezi wa New Castle United. Bosi huyu aliipotea timu ya Napoli kutoka katika mikono ya Benitez mwaka …

Soma zaidi
Arsenal Atachomoka Leo?
Football

Arsernal wa Unai Emery leo anamkaribisha West Ham United pale Emirates Stadium. Washika mtutu na washika nyundo wote wana njaa ya kupata pointi leo baada ya kuanza vibaya. Je nani …

Soma zaidi
Everton Watampoteza Ademola Lookman!
Football

Winga wa Everton, Ademola Lookman anaripotiwa kuwa ameshaandaliwa kuondoka Everton kujiunga na RP Leipzig. Taarifa hizi zimeripotiwa na chanzo cha habari cha The Mirror kuwa tayari mchezaji huyu yuko mbioni …

Soma zaidi
“Arsenal Hawahitaji Kombe”
Football

Aliyewahi kuwa mchezaji wa Arsenal Alan Smith amesema kwa sasa Arsenal hawahitaji kushinda ubingwa, inahitaji tu mabadiliko chanya. Alan Smith amesema hayo kufuatia washika mtutu hao kuanza vibaya msimu wakiwa …

Soma zaidi
Wajue Wafungaji Maridadi Primier League!
Football

Rekodi ya Alan Shearer ya jumla ya magoli 206 inaweza kuvunjwa na vijana maridadi wanoendelea kuonekana katika orodha ya wafungaji wenye magoli mengi kwenye Primier League. Ifahamu hapa orodha ya …

Soma zaidi
AC Millan Wanammendea Adrien Rabiot!
Football

Ac Millan wanadaiwa kuwa wapo katika mazungumzo ya kumnasa kijana machachari bwana Adrien Rabiot kutoka PSG. Millan wanamuhijaji Adrien Rabiot katika Seria A  kati ya mwezi january au msimu ujao wa kiangazi …

Soma zaidi
Chelsea: “Hazard Haendi Popote”
Football

Eden Hazard aliripotiwa huenda ataenda Real Madrid na kuiacha chelsea . Ripoti zinadai kuwa Hazard kwa sasa huenda akakataa ofa ya kwenda Real Madridi kabla ya dirisha kufungwa. Dennis Wise …

Soma zaidi
Liverpool: Klabu Haiuzwi
Football

Mwanzoni kulikuwa na ripoti kuwa binamu wa mmiliki wa Manchester City Sheik Mansour  alikuwa anahitaji kuinunua klabu ya Liverpool na kubainisha kuwa alikuwa kwenye mazungumzo ili aweze kuinunua timu hiyo. …

Soma zaidi
Guerrero Ahukumiwa Kutocheza
Football

Paolo Guerrero kwa sasa hataweza kuichezea timu yake mpya ya International kutoka Brazili kutokana na hukumu aliyopewa inayoimzuia kucheza soka kutokana na matumizi ya dawa za kulevya. Awali mkali huyu …

Soma zaidi
Ofa ya Betis Kwa Man City
Football

Ripoti zinadai kuwa Real Betis wametoa ofa rasmi kwa Manchester city kumchukua Oleksandr Zinchenko kwa mkopo huku wakifikiria kumchukua moja kwa moja. Chanzo cha habari cha kihispania Mundo Deportivo kinaripoti kuwa …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.