Toney Aapa Kuwa Bega kwa Bega na Brentford Baada ya Kumsaidia Alipofungiwa Soka Miezi 8
Ivan Toney amefichua kwamba alipoteza mapenzi yake kwa soka wakati wa kufungiwa kwake miezi nane kwaajili ya kamari lakini yuko tayari kurejea na kuipa usaidizi Brentford wakati wa kusimamishwa kazi …