Milan: Zlatan Ibrahimovic Atafanyiwa Upasuaji?
Nyota wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovicameripotiwa kuwepo kwenye mawasiliano na mtaalamu juu ya matibabu yake ya goti.Taarifa zinasema staa huyu anajaribu kufanya tahmini kama aendelee na matibabu ya kawaida au …