Lewandowski-Nilistahili kushinda Ballon d’Or.
Mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski anaamini kwamba alikuwa anastahili kushinda tuzo ya Ballon d’Or kama tuzo hizo zisingeondolewa mwaka 2020. Chama cha mpira Ufaransa kilithibitisha mwezi Julai kwamba hakutokuwepo …