Barcelona Dani Alves - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Everton watafikiria uwezekano wa kocha wa Rangers Steven Gerrard na kocha wake wa zamani wa Liverpool Rafael Benitez kuchukua nafasi ya Carlo Ancelotti. Pia kocha wa zamani …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Arsenal na Liverpool wanaangalia uwezekano wa kumhamisha kiungo wa kati wa Brighton na Mali Yves Bissouma, 24. Mlinzi wa Chelsea Mjerumani Antonio Rudiger, 27, na mlinzi wa England …

Juma Abdul, Utarudi Lini?

Champions League

Miaka ya 1990s John CruyfF’ aliabudu sana mfumo wa tiki taka na umiliki wa mpira kwa vijana wa La Masia pale barcelona, na ndipo soka likalipa fadhila kwa kumtunuku dunia …

Soka Tamu Ila Ubaguzi Unaharibu!

Champions League

Kuna kipindi soka la Ulaya linakuwa tamu la kuvutia linalopendwa kuonekana mbele ya shabiki yeyote yule duniani. Kiujumla wachezaji wanajituma, akili na miili yao yote inafanya kazi moja tu: kuhakikisha …

Fununu za Soka Barani Ulaya

Champions League

Matajiri wa nchini Uingereza, Manchester United wana uhakika wa kumshawishi kiungo wa klabu hiyo, Paul Pogba ili aweze kundelea kusalia ndani ya klabu hiyo. Mchezaji huyo amekuwa akiwafikirisha sana matajiri …

1 2 3