Bayern Munich Robert Lewandowski - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Hainer : Lewandowski Haendi Popote.

Daily News

  Raisi wa Klabu ya Bayern Munich, Herbert Hainer amesisitiza mshambuliaji wao Robert Lewandowski ataendelea kuwepo katika misimu miwili ijayo na hawatarajii kumuuza katika majira haya ya kiangazi.   Lewandowski …

Coman Anataka Kulipwa Kama Lewandowski

Daily News

Kingsley Coman ameomba mshahara sawa na Robert Lewandowski anapoangalia upya mkataba wake Bayern Munich kabla hajasaini tena. Fowadi huyo wa Ufaransa alifurahiya msimu wake mzuri kwenye klabu msimu wa 2020/21, …

Kane, Lewandowski Wafunika Ulaya

Champions League

1. Robert Lewandowski (Bayern Munich) Nani anabisha? Lewandowski ndiye straika bora kabisa duniani kwa sasa. Supastaa huyo wa Poland ameweka rekodi ya kibabe kabisa kwenye kikosi cha Bayern Munich, akifunga …

Lewandowski Awa Gumzo Ulaya

Daily News

Wawakilishi wa Chelsea wamewasiliana na mabosi wa Bayern Munich ili kuinasa saini ya Robert Lewandowski (32) katika dirisha lijalo la majira ya Kiangazi. Mbali na kuwasiliana na mabosi wa timu …

1 2 3 4 5 6 7 8 9