NBA Kuipamba Siku Kuu ya Krismasi.
Sikukuu ya Krismasi huwa ni siku ya kujitoa zaidi, kusaidia wengine kwa chochote. Kwa NBA ni vivyo hivyo, mashabiki wa mpira wa kikapu kupatiwa burudani kadha wa kadha. Katika kusherehekea …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Sikukuu ya Krismasi huwa ni siku ya kujitoa zaidi, kusaidia wengine kwa chochote. Kwa NBA ni vivyo hivyo, mashabiki wa mpira wa kikapu kupatiwa burudani kadha wa kadha. Katika kusherehekea …
Michezo ya muendelezo wa msimu mpya wa NBA 2020/21 imemalizika usiku wa kuamkia leo. Boston Celtics na Philadelphia 76ers wameunga tela la Clippers na Nets. Boston Celtics wameuanza msimu huu …
Kuna msemo wa kiswahili unasema ‘sheria ni msumeno, inakata pande zote’. Ndicho kilichowakuta Milwaukee Bucks kunako NBA. Milwaukee Bucks wameingia matatani baada ya kuvunja sheria ya NBA ya kuzungumza na …
Mambo yanazidi kupamba moto kwenye ulimwengu wa NBA. Beki mahiri wa Utah Jazz – Rudy Gobert amemwaga wino kwenye kandarasi mpya. Rudy Gobert alikuwa ndiye mchezaji mahiri pekee aliyesalia bila …
Timu mbalimbali zinaendelea kujiweka sawa na msimu mpya wa NBA. Vipi kwa Kevin Durant wa Brooklyn Nets, anamfikiria swahiba wake James Harden? James Harden ambaye anakipiga katika timu ya Huston …
Kunako anga la mpira wa kikapu, LA Lakers wametwaa ubingwa wa NBA 2019/20. Ushindi katika mchezo wa 6 umewatosha Lakers kubeba ubingwa baada ya miaka 10. Ama kweli kukata tamaa …
Kunako NBA, mchezo wa 4 kati ya 7 wa fainali 2019/20 umemalizika kwa LA Lakers kuwaburuza Miami Heats. Wakati matokeo yakiwa 2-1 kabla ya mchezo huu, Heats walianza kuonesha matumaini …
Kunako msimu wa NBA, michezo ya Eastern na Western Conference imemalizika na sasa washindi – LA Lakers na Miami Heats kuanza kuchuana ili kumpata mbabe wa NBA 2020. Katika mchezo …
Michezo ya fainali za NBA Conference inaendelea kutimua vumbi. Kunako Eastern Conference, mchezo wa 4 umemalizika kwa Miami Heats kuwaburuza Boston Celtics kwa mara nyingine. Mchezo ambao Heats walishinda kwa …
Mchezo wa 3 katika muendelezo wa fainali ya NBA Wesstern Conference umechezwa usiku wa kuamkia leo. Denver Nuggets walivaana na LA Lakers. Kabla ya mchezo wa jana, Lakers walikuwa wanaongoza …
Kunako anga la mchezo wa kikapu, michezo ya NBA Play Offs inaendelea kushika hatamu. Timu mbalimbali zikiendelea kuitafuta tiketi ya kuendelea kufuzu michuano hiyo. Katika michezo iliyomalizika, Boston Celtics wameifunga …
Nafahamu mashabiki wa mpira wa kikapu duniani hawatapenda kupitwa na hii list iliyozitaja timu 5 za Baskteball kutoka kwenye ligi kuu ya NBA ambazo zimefanikiwa kuchukua ubingwa wa Ligi hiyo …
Baada ya janga la Corona kusimamisha msimu wa NBA, sasa ni rasmi Ligi hiyo ya kikapu Marekani inarejea tena Julai 30. Michezo yote iliyobakia kwa msimu huu itakuwa tofauti na …
Michezo iliyobakia ya kukamilisha msimu wa kikapu huko Marekani #NBA inawezwa kuchezwa kwenye eneo la mapumziko la Disney Frolida kuanzia tarehe 31 Julai. Msimu wa NBA ulisimamishwa hapo Machi 11 …