Tetesi za Soka Bararani Ulaya.
Tetesi zinasema, kiungo wa kati wa Uingereza Declan Rice, 23, anawaniwa na Manchester United na Chelsea katika uhamisho wa majira ya kuangazi. Tetesi zinasema, Barcelona wanataka kukamilisha uhamisho wa …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Tetesi zinasema, kiungo wa kati wa Uingereza Declan Rice, 23, anawaniwa na Manchester United na Chelsea katika uhamisho wa majira ya kuangazi. Tetesi zinasema, Barcelona wanataka kukamilisha uhamisho wa …
Tetesi zinasema, Manchester United wanazidi kujiamini kuwa wanaweza kumteua kocha wa Paris St-Germain Mauricio Pochettino kama meneja wao wa kudumu katika majira ya joto. Manchester City wako kwenye mazungumzo …
Tetesi zinasema, Bayern Munich wanaweza kumuuza mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski msimu wa joto ikiwa hata saini mkataba mpya, mkataba wa sasa unakamilika mwezi Juni 2023. Wawakilishi wa Cristiano …
Tetesi zinasema, Kylian Mbappe, 23, anajadiliana na Paris St-Germain kuhusu mkataba mpya. Mshambuliaji huyo wa Ufaransa wa miaka 23, alitarajiwa kujiunga na Real Madrid kwa uhamisho wa bure wakati …
Tetesi zinasema, Manchester United wanataka kumtoa kwa mkataba wa mkopo kiungo Mholanzi Donny van de Beek, 24, kwa Newcastle au Borussia Dortmund. Tetesi zinasema, Manchester United wako katika nafasi …
Kapteni wa klabu ya Chelsea ameripotiwa kukubaliana na klabu ya Barcelona kujiunga nayo ambapo mkataba wake utakapo malizika na timu yake ya sasa mwisho wa msimu. Cesar Azpilicueta alijiunga na …
Tetesi zinasema, Mshambulizi wa Ufaransa Kylian Mbappe anasema hatahamia Real Madrid mwezi Januari na atasalia Paris St-Germain hadi angalau mwisho wa msimu. Mkataba wa mchezaji huyo unamalizika msimu wa …
Tetesi zinasema, Chelsea wanafikiria uwezekano wa kumnunua beki wa Leicester na Ufaransa wa chini ya umri wa miaka 21 Wesley Fofana, 20, Antonio Rudiger, 28, na Andreas Christensen, 25, …
Tetesi zinasema, Chelsea na Newcastle United ni miongoni mwa timu za Ligi kuu England zinazohusishwa na usajili wa mshambuliaji Eden Hazard, 30, kutoka Real Madrid mwezi Januari. Tetesi zinasema, …
Tetesi zinasema, wakala wa Roberto Lewandowski, Pini Zahavi anaona klabu ya Manchester City kama klabu ambayo mshambuliaji huyo wa Bayern na Poland mwenye umri wa miaka 33 anaweza kuhamia …
Tetesi zinasema, Newcastle United inawataka wachezaji wanne wa Manchester United wakati dirisha la uhamisho litakapofunguliwa mwezi Januari huku mashambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial, 25, kiungo wa kati wa Uholanzi …
Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez, aliyeondoka Barcelona kujiunga na Atletico Madrid msimu uliopita amemtaka mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 33, kusalia Nou Camp. Tetesi zinasema, Aston Villa ipo …
Blues wanaelekea Leicester katika Uwanja wa King Power Jumanne usiku wakiwa na hamu ya kuanza msimu wao baada ya kuanza kwa kuchechemea 2020-21. Na bosi Frank Lampard atapewa nguvu kwa …
Kocha Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp, amesema kuwa wachezaji wake walipambana muda wote ndani ya uwanja mbele ya Chelsea wakati wakiibuka na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Chelsea, usiku …
Tetesi zinasema Kocha wa Newcastle Steve Bruce anapanga uhamisho wa kiungo wa kati John McGinn, 25, raia wa Scotland ikiwa Aston Villa itashushwa daraja. Leicester na Newcastle wameingia kwenye orodha …
Pamoja na kwamba ligi ya Uingereza ina mvuto wa pekee lakini haimaanishi kwamba klabu hizo zinaweza kuvumilia kukaa na wachezaji kwa kipindi kirefu. Kila klabu huamua kukaa na mchezaji fulani …
Hii inakuja ikiwa ni baada ya wao kukosa kupenya mwaka 2014 ambapo sasa timu ya taifa ya Denmark inakwaana na mataifa kadhaa kuhakikisha wanafanikiwa kwenye Kombe la Dunia. Mchezaji Eriksen …