Eriksen Aanza Mazoezi na Timu Yake ya Zamani Odense
Baada ya Christian Eriksen kupata tatizo la moyo wakati wa michuano ya Euro 2020 akiwa na timu ya taifaya Denmark sasa ameanza mazoezi kwa mra ya kwanza na timu ya …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Baada ya Christian Eriksen kupata tatizo la moyo wakati wa michuano ya Euro 2020 akiwa na timu ya taifaya Denmark sasa ameanza mazoezi kwa mra ya kwanza na timu ya …
Kiungo wa Inter Milan, Christian Eriksen leo amerejea katika viwanja vya Nerazzurri tayari kuanza vipimo vya matibabu ambavyo vitaamua kama ataweza kurejea kucheza soka. Hii ni kwa mujibu wa …
Christian Eriksen hataweza kuendelea kucheza katika Serie A – na soka la Italia kwa jumla – isipokuwa kama defibrillator yake itaondolewa, mtaalam anayeongoza wa kisayansi wa Italia amethibitisha. Eriksen amewekewa …
Nahodha wa Denmark, Simon Kjaer amesema tukio la Christian Eriksen katika mechi yao ya ufunguzi ya Euro 2020 kuliunganisha kikosi pamoja na kuwasaidia kufika nusu fainali. Denmark walipata kipigo …
Baada ya vipimo mbalimbali kufanywa kwa nyota wa Denmark Christian Eriksen sasa imekubalika kuwa mchezaji huyo atawekewa kifaa maalum cha kusaidia kushtua moyo kiitwacho ICD (Implantable Cardioveter defibrillator). Kifaa hiki …
Daktari wa timu ya taifa ya Denmark Morten Boesen amebaini kuwa Christian Eriksen alikuwa amekufa baada ya kuanguka wakati wa mchezo wa Kundi B na Finland. Kabla ya nusu saa, …
Mchezaji wa Denmark, Christian Eriksen anaendelea kupata ahueni hospitalini na ametuma salamu zake kwa wachezaji wenzake wa timu ya mpira wa miguu ya Denmark. Eriksen alianguka muda mfupi kabla …
Nahodha na mchezaji wa timu ya taifa ya Denmark, Christian Eriksen azimia uwanjani wakati wa mechi kati ya Denmark na Finland katika fainali za michuano ya Euro 2020. Mnamo dakika …
Leicester City waliulizia juu ya uwezekano wa kumchukua Christian Eriksen kwa mkopo kutoka Inter. Hata hivyo, akini mshahara wake ukawa changamoto kwenye mpango wao. Hii ni kwa mujibu wa chapisho …
Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza. Christian Eriksen aliwika EPL na siku chache zilizopita alinukuliwa akiwekawazi hana mpango wa kurudi EPL, sasa Inter wamemuweka sokoni rasmi! Eriksen alijiunga na …
Nyota wa klabu ya Tottenham na raia wa Denmark, Christian Eriksen haonekani kama yupo katika eneo salama katika msimu huu na kama bado ana furaha kuendelea kusalia katika kikosi cha …
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kupata alama tatu tena katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya klabu ya Nottingham Forest baada ya kutoka nyuma na kushinda kwa mabao …
Erik ten Hag amekiri kwamba kiungo mpya wa Manchester United lazima ipate muunganiko haraka baada ya kuanza kwa kigugumizi katika ushindi wa Jumatatu dhidi ya Wolves. Bao la kichwa …
Marcel Sabitzer ameondolewa kwenye mechi tatu za mwisho za Manchester United msimu huu wa Ligi Kuu ya Uingereza na pia fainali ya Kombe la FA mwezi ujao kwa sababu ya …
Manchester United yatupwa nje kwenye michuano ya Europa baada ya kupigwa mabao 3-0 hapo jana dhidi ya Sevilla kwenye mchezo wa marudiano huku mechi ya kwanza walipokuwa Old Trafford walitoka …
Kocha mkuu wa Manchester United Erik ten Hag amewaondoa Marcus Rashford na Luke Shaw kwenye kikosi kitakacho cheza Alhamisi ya robo fainali-Ligi ya Europa dhidi ya Sevilla. Odds kubwa za …
Manchester United itadai pauni milioni 50 ikiwa Newcastle wataendelea na harakati zao za kumtaka Scott McTominay. Nyota huyo wa Scotland mwenye miaka 23, alibeba kiwango chake kizuri kutoka kwa …
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Anthony Martial imetibtishwa na na kocha Ten Hag kua atarejea katika mchezo wa ligi kuu ya UIngereza wikiendi hii dhidi ya klabu ya Newcastle …
Wachezaji wawili wa klabu ya Manchester United Scott Mctominay na beki Victor Lindelof hatma yao kuamuliwa mwishoni mwa msimu huu na kocha wa klabu hiyo Erik Ten Hag ambaye ataamua …
Klabu ya Manchester United ilimuhitaji kiungo wa kimataifa wa Morocco na klabu ya Fiorentina Sofyan Amrabat katika dirisha dogo la usajili mwezi Januari hii imevuja kutoka kwa kaka wa kiungo …