PSG na Chelsea Wapigania Mchezaji
PSG na Chelsea wanagombania kumsajili nyota wa Sporting Lisbon, Manuel Ugarte, huku mabingwa hao wa Ufaransa PSG wakiwa mstari wa mbele kuinasa saini ya mchezaji huyo. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
PSG na Chelsea wanagombania kumsajili nyota wa Sporting Lisbon, Manuel Ugarte, huku mabingwa hao wa Ufaransa PSG wakiwa mstari wa mbele kuinasa saini ya mchezaji huyo. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet …
Jurgen Klopp anasema Darwin Nunez ni mradi wa muda mrefu huko Liverpool na anasisitiza kuwa mshambuliaji huyo bado anazoea maisha na wekundu hao. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uruguay, …
Kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Uruguay Federico Valverde ameripotiwa kumpiga mchezaji wa klabu ya Villarreal baada ya mchezo uliozikutanisha timu hizo katika dimba la …
Kiungo wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Uruguay Federico Valverde amezungumza na kusema hajioni akiwa nje ya klabu hiyo mabingwa watetezi wa ligi ya mabingwa barani ulaya. …
Liverpool wamepata pigo kubwa la kumkosa mshambuliaji wao Darwin Nunez katika mechi ya Ligi ya Mabingwa ya Liverpool dhidi ya Real Madrid siku ya Jumanne baada ya kupata jeraha la …
Kinda wa klabu ya Manchester raia wa Uruguay Facundo Pellistri amesema kua klabu yake imepanga kwenda kwenye dimba la Camp Nou kuhakikisha wanapata matokeo ya ushindi. Kinda Facundo Pellistri wakati …
Ghana wamemteua Chris Hughton kama kocha wao mpya kufuatia kuondoka kwa Otto Addo. Addo aliiongoza Black Stars kwenye Kombe la Dunia la 2022, ambapo walishindwa kufuzu kutoka Kundi H …
Kiungo wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Uruguay Federico Valverde ameahidi kurudi kwenye ubora wake ambao alikua nao kabla ya michuano ya kombe la dunia. Kiungo Federico …
Mshambuliaji wa Liverpool Darwin Nunez amefananishwa na Marcus Rashford wa zamani kutokana na umaliziaji wake mbovu huku mshambuliaji huyo wa Liverpool akiendelea kutatizika mbele ya lango. Odds kubwa za soka …
Aliyekua beki wa timu ya taifa ya Ufaransa Raphael Varane ametangaza kustaafu timu ya taifa ya nchi hiyo baada ya kuitumikia kwa muda nrefu na kwa mafanikio makubwa. Beki Varane …
Bournemouth wanakaribia kukamilisha dili la kumnunua beki wa kushoto wa Roma, Matias Vina na wanatazamia kumnasa mchezaji huyo kabla ya dirisha kufungwa Jumanne. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet. …
Kocha wa Manhester United Erik Ten Hag amesema kua mchezaji kinda ndani ya klabu hiyo raia wa kimataifa wa Uruguay Facundu Pellistri hataondoka ndani ya klabu hiyo ndani ya dirisha …
Facundo Torres ambaye ni mshambuliaji amefichua kuwa Arsenal iliwasiliana na Orlando City kumtaka kabla ya Kombe la Dunia. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 amevutia sana MLS tangu …
Real Madrid imevunja rekodi ya kufikisha mechi 4,435 kwa kuanzisha kikosi cha kwanza bila ya kuwepo wachezaji kutoka nchi ya Hispania kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo, …
Erik ten Hag anasema Manchester United inahitaji kuleta mshambuliaji lakini amesisitiza kuwa “lazima awe ndiye sahihi” katika suala la ubora. United wanaelekea kwenye mechi yao ya kwanza ya Ligi …
Diego Maradona na Lionel Messi wote wanachukuliwa kuwa wanasoka wawili bora zaidi wa wakati wote na mnamo 2005 wawili hao walicheza pamoja uwanjani. Mnamo 2005 Messi alikuwa na umri wa …
Morocco ilikuwa moja ya bora za Kombe la Dunia la 2022. Simba wa Atlas ilizivuruga Ubelgiji, Hispania na Ureno, baadhi ya mataifa yenye nguvu zaidi ya soka barani Ulaya kwa …
Safari ya Argentina huenda ingekuwa yenye furaha zaidi kama wangekuwa namba moja kwa viwango vya soka duniani, lakini mambo yamekuwa ndivyo sivyo, licha ya kuifunga Ufaransa kwenye fainali ya kombe …
Luis Suarez ametuma pongezi zake kwa mchezaji mwenzake wa zamani wa Barcelona Lionel Messi baada ya nyota huyo wa Argentina kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Dunia. Messi …
Kocha mkuu wa Korea Kusini Paulo Bento amethibitisha kuwa hataongeza mkataba wake na timu hiyo baada ya kutolewa hapo jana kwenye Kombe la Dunia kwa kubugizwa mabao 4-1 na Brazil. …