afcon - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

AFCON Imemponza Herve Renard

Football

Kocha Mkuu wa Morocco Herve Renard snsschis ngazi baada ya Morocco kushindwa kutoboa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Africa -AFCON. Morocco walikuwa wanatarajiwa kuwa moja ya timu ambayo …

Yaliyojiri AFCON

Champions League

Wakati michuano ya mataifa ya Afrika yakiwa yanaendelea kushika kasi na kila timu ikitafuta ubingwa kwa heshima yake ili kuandika historia mpya kwenye michuano ya mwaka huu, basi timu za …

Kuelekea AFCON

Champions League

Huku mechi ya ufunguzi wa michuano ya mataifa ya Afrika ikitegemewa kupigwa leo huko Misri ambapo wenyeji hao wa michuano hiyo ya mwaka huu wataanza kufungua mechi yao na Zimbabwe …

Tuijue Historia ya AFCON

Champions League

Kombe la mataifa ya Afrika ambalo ndilo linajulikana kama AFCON ni kati ya mataji makubwa sana kwenye soka la Afrika na lina heshima ya pekee sana kwa kukutanisha wachezaji wa …

Misri Kuandaa Fainali za AFCON!

Football

Hapo awali Cameroon walipewa nafasi ya kuandaa fainali za michuano hiyo mikubwa na ya aina yake Afrika, lakini kutokana na sababu mbalimbali wameweza kupokwa nafasi hiyo; huku Misri akipewa ripoti …

TAIFA STARS NI KUFA AU KUPONA LEO

Daily News

Kipa wa timu ya Taifa Stars, Aishi Manula ameweka wazi kuwa wana mchezo mgumu dhidi ya Guinea lakini lengo mama ni kuhakikisha wanfuzu AFCON 2025 kwa kuwa watakuwa nyumbani Mchezo …

Msuva Amepata Timu Ulaya

SOKA LA BONGO

NYOTA wa Tanzania  Simon Msuva anakwenda kuanza maisha mapya Ulaya katika timu iliyopo Jamhuri ya Iraq huko Asia wa msimu wa 2024/25. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya …

RAGE: YANGA WANAPIGA SANA BOLI

SOKA LA BONGO

Mwenyekiti wa zamani wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amesema kuwa watani zao, Klabu ya Yanga wanapaswa kupongezwa kutokana na soka safi wanalocheza hivi sasa na kupata matokeo mazuri …

RAGE AKUBALI MZIKI WA PACOME

SOKA LA BONGO

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Ismael Aden Rage, ameweka wazi kuwa anakoshwa na ubora wa kiungo wa Yanga Pacome Zouzoua na kudai kuwa kovh wa Ivory Coast anapaswa …

TWIGA STARS KUANZA KAZI LEO

SOKA LA BONGO

TIMU ya Taifa ya Tanzania Ya Wanawake (Twiga Stars) itashuka dimbani leo Ijumaa kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi kucheza na Timu ya Taifa ya Afrika Kusini (Banyana Banyana). Mchezo …

1 2 3 4 5 6 19 20 21