chelsea - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Chelsea Majanga Matupu

Daily News

Klabu ya Chelsea imeendelea kuandamwa na majanga kwani wachezaji wake muhimu wanaendelea kupata majeraha ambapo wachezaji wawili wa klabu hiyo wamepata majeraha tena. Kiungo Enzo Fernandez na beki Axel Disasi …

Chelsea Majeraha Yaendelea Kuwaandama

Daily News

Klabu ya Chelsea imeendelea kuandamwa na majeraha katika kikosi chao haswa katika wachezaji ambao wanaunda kikosi cha kwanza cha klabu hiyo. Beki wa kushoto wa klabu hiyo ambaye ni nahodha …

Chelsea Mawindoni kwa Nico Williamns

Daily News

Klabu ya Chelsea imeingia mawindoni kumtafuta winga wa klabu ya Athletic Club ya nchini Hispania mwenye asili ya Ghana Nico Williams ambaye anafanya vizuri klabuni hapo kwasasa. Winga huyo inaelezwa …

Chelsea Bado Wanajipigia Tu

Daily News

Unaweza kusema bado wanajipigia ndio kauli ambayo unaweza kuitumia kwa klabu ya Chelsea, Kwani leo tena wamepoteza mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya klabu ya Everton. Chelsea wamejikuta …

Manchester City na Chelsea Hali Tete

Daily News

Klabu ya Manchester City na Chelsea wako kwenye kipindi kigumu kwasasa baada ya klabu ya Everton kupokonywa alama 10 baada ya kuvunja sheiria za matumizi ya fedha. Everton wamepokwa alama …

Lavia Mbioni Kurejea Chelsea

Daily News

Kocha wa klabu ya Chelsea Mauricio Pochettino amesema kua kiungo wa klabu hiyo Romeo Lavia ameshapona na ameanza mazoezi na wachezaji wenzake. Kiungo Romeo Lavia amekua na majeraha tangu atue …

Osimhen Mawindoni kwa Chelsea

Daily News

Mustakabali wa Victor Osimhen ulikuwa gumzo kuu katika kipindi chote cha uhamisho wa majira ya kiangazi huku kocha mkuu wa Chelsea Pochettino akimhitaji pia.   Mshambuliaji huyo wa Nigeria alifurahia …

Inter Milan Wamkataa Mshambuliaji wa Chelsea

Serie A

Mkurugenzi wa klabu ya Inter Milan Ausilio amesema kua hawana mpango wa kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Armando Broja kwakua wanavutiwa na washambuliaji walionao klabuni hapo. Ausilio ameweka wazi …

1 2 3 4 5 6 183 184 185
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.