Blooklyn Nets Yamsajili Mkongwe Beasley.
Timu ya mpira wa kikapu nchini marekani Blooklyn Nets imefanya usajili wa mchezaji wa zamani wa timu hiyo Michaell Beasley ili kuisaidia timu hiyo kunako ligi ya NBA. Timu imethibitishaΒ …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Timu ya mpira wa kikapu nchini marekani Blooklyn Nets imefanya usajili wa mchezaji wa zamani wa timu hiyo Michaell Beasley ili kuisaidia timu hiyo kunako ligi ya NBA. Timu imethibitishaΒ …
Baada ya janga la Corona kusimamisha msimu wa NBA, sasa ni rasmi Ligi hiyo ya kikapu Marekani inarejea tena Julai 30. Michezo yote iliyobakia kwa msimu huu itakuwa tofauti na …
Tukiendelea na orodha yetu ya wachezaji bora wa mpira wa kikapu duniani, Leo tunaungana na Michael Jordan, Shaquille O’Neill, Kobe Bryant , Duane Wade na Carmelo Anthony. Michael Jordan. Michael …
Na kuanza orodha yetu ya wachezaji bora wa mpira wa kikapu duniani tukianza na; Clyde DrexlerΒ . Drexler alizaliwa 1963 huko New Orleans. Mwaka wa 1995, Clyde, akiwa sehemu ya timu …
Klabu ya Chelsea imekubali makubaliano ya kuuzwa kwa klabu hiyo kwa kundi la umiliki linaloongozwa na Todd Boehly, Clearlake Capital, Mark Walter na Hansjoorg Wyss kwa paundi bilioni 4.25 klabu …
NBA 2021/22 inaendelea kupamba moto viwanjani. Rekodi zinawekwa na kuvunjwa kila uchwao. Sasa ni zamu ya Phoenix Suns. Suns walikua uwanjani kuchuana na Golden State Warriors katika mchezo wa 19 …
Ligi ya NBA inaendelea kupamba moto viwanjani, baadhi ya wachezaji vinara wa ligi, wameendelea kutoa burudani viwanjani wikiendi hii. Kevin Durant, alijikuta akitolewa nje ya uwanja mwishoni mwa kipindi cha …
Msimu mpya wa Ligi ya Kikapu nchini Marekani, NBA imeanza rasmi! Baadhi ya mastaa wa NBA wameonesha ubora wao kwenye michezo miwili ya ufunguzi. Milwaukee Bucks walikuwa uwanjani kuanza safari …
Msimu wa 2020/21 kunako NBA, uligubikwa na matokeo ya kila namna. Walikuepo walioshuka viwango, underdogs, chipukizi na wapindua meza. Kulinoga! Sio Lakers wala Warriors walioweza kufua dafu mbele ya Milwaukee …
Mambo yametaradadi kunako NBA msimu huu. Stephen Curry na LeBron James kwao ni ushindi tu! Golden State Warriors walikuwa uwanjani wikiendi hii kupambana na Portland Trail Blazers. Huu ni mchezo …
Msimu mpya wa NBA – 2020/21 unaendelea kushika kasi siku baada ya siku, rekodi zinawekwa na kuvunjwa kila wiki. LeBron James na Becky Hammon wameweka zao wiki hii. LA Lakers …