manchester united - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Fred Aaga Manchester United

Daily News

Kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Brazil Fred Rodrigues ameaga rasmi ndani ya klabu hiyo baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka mitano. Kiungo …

Manchester United Kukipiga na Lyon

Daily News

Klabu ya Manchester United itashuka dimbani leo katika mchezo wake wa pili wa kujiandaa na msimu mpya kukipiga na klabu ya Olympique Lyon nchini Scotland. Manchester United watakua nchini Scotland …

Manchester United Wamfukuzia Goretzka

Daily News

Klabu ya Manchester United ipo kwenye mchakato wa kumsajili kiungo wa klabu ya Bayern Munich raia wa kimataifa wa Ujerumani Leon Goretzka ndani ya dirisha hili. Manchester United mpaka sasa …

Manchester United Kupitisha Fagio

Daily News

Klabu ya Manchester United wanatarajia kupitisha fagio la chuma katika dirisha hili kubwa kuelekea msimu ujao kwani wataacha wachezaji kama wanne ambao watawaweka sokoni. Manchester United wanatarajiwa kuachana na nahodha …

Manchester United Kumkimbia Onana

Daily News

Taarifa zinaeleza kua klabu ya Manchester United ipo kwenye mpango wa kuachana na mpango wa kumsajili golikipa wa klabu ya Inter Milan Andre ya Onana kwajili ya kiwango cha pesa. …

Manchester United Yamuuza Kinda Wake

Daily News

Klabu ya Manchester United yakubali kumuuza kinda wake raia wa kimataifa wa Iraq mwenye umri wa miaka 20 kwenda klabu ya Utrecht ya nchini Utrecht. Manchester Unired imekubali kumuachia kinda …

1 2 3 4 5 6 211 212 213