Manchester United Kukipiga Leo na Majeraha Kibao
Klabu ya Manchester United leo itakipiga katika mchezo wa nusu fainali wa kombe la Fa nchini Uingereza huku ikiwa na majeruhi kibao kwenye kikosi chake haswa eneo la ulinzi. Manchester …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Klabu ya Manchester United leo itakipiga katika mchezo wa nusu fainali wa kombe la Fa nchini Uingereza huku ikiwa na majeruhi kibao kwenye kikosi chake haswa eneo la ulinzi. Manchester …
Klabu ya Manchester United leo watakua nyumbani katika dimba lao la Old Trafford wakiikaribisha klabu ya Liverpool katika mchezo wa kukata na shoka wa ligi kuu ya Uingereza. Mchezo kati …
Manchester United wanaripotiwa kuwa tayari kulipa kiasi cha €60m cha kutolewa katika mkataba wa beki wa Juventus Gleison Bremer, huku Bianconeri akijutia dili hilo. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil …
Klabu ya Manchester United imeanza kuhusishwa na kiungo wa kimataifa wa Ubelgiji Amadou Onana ambaye anakipiga katika klabu ya Everton inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza. Amadou Onana amekua kwenye kiwango …
Klabu ya Manchester United inaelezwa itaingia sokoni kutafuta beki wa kushoto ambaye atakuja kusaidiana kazi na beki wa kimataifa wa Uingereza klabuni hapo Luke Shaw. Manchester United inaelezwa wanapanga maboresho …
Klabu ya Manchester United imetakata kwenye tuzo za mwezi za ligi kuu ya Uingereza ambapo wamefanikiwa kutwaa tuzo mbili kwenye tuzo za mwezi Febuari. Wachezaji wawili wa klabu ya Manchester …
Klabu ya Manchester United inaelezwa ina mpango wa kuachana na wachezaji wasiopungua kumi kuelekea dirisha kubwa la mwezi Juni, Katika kuhakikisha wanajenga timu mpya. Uongozi mpya wa klabu ya Manchester …
Klabu ya Manchester United ipo mbioni kumalizana na mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Newcastle United Dan Ashworth ambaye inasemekana yupo tayari kujiunga na mashetani hao wekundu. Baada ya bodi …
Klabu ya Manchester United leo itashuka dimbani kumenyana na klabu ya Fc Bayern Munich katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani ulaya ambao ukakwenda kuamua hatma ya klabu hiyo kwenye …
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kutawala tuzo za ligi kuu ya Uingereza ambapo wamefanikiwa kuchukua tuzo tatu katika ligi hiyo kwa mwezi Novemba. Manchester United imetwaa tuzo ya mchezaji bora …
Klabu ya Manchester United imeeleza kua imewapiga marufuku baadhi ya waandishi na vyombo vya habari nchini Uingereza kutokana na kuchapisha habari bila kuwasiliana na klabu. Manchester United imeweka wazi kua …
Baada ya kuambulia suluhu katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya Galatasaray, Jana Manchester United wameendelea walipoishia kwani wamepoteza mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Newcastle …
Klabu ya Manchester United ipo mawindoni kuhakikisha inapata saini ya beki raia wa kimataifa wa kireno Antonio Silva anayekipiga klabu ya Benfica ya nchini Ureno. Manchester United imemfanya kipaumbele beki …
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kupata matokeo ya ushindi kibabe wakiwa ugenini katika dimba la Goodson Park baada ya kuitandika Everton kwa mabao matatu kwa bila. Manchester United kwenye ubora …
Klabu ya Manchester United leo itakua na kibarua kizito katika dimba la Goodson Park ambapo watashuka dimbani kumenyana na klabu ya soka ya Everton katika mchezo wa ligi kuu ya …
Klabu ya Manchester United imeendelea kukubwa na majanga na hiyo ni baada ya golikipa wake namba moja Andre Onana kupata majeraha akiitumikia timu yake ya taifa ya Cameroon. Andre Onana …
Klabu ya Manchester United inaendelea kufanya usafi ndicho unachoweka kusema kwasasa baada ya taarifa kutoka kua mkurugenzi wa michezo klabuni hapo John Murtough anajiandaa kuondoka. Jana taarifa kutoka klabu ya …
Klabu ya Manchester United inataka kufanya mapinduzi klabuni hapo na hiyo ni baada ya kung’atuka kwa mkurugenzi mkuu wa klabu hiyo mapema leo Richard Arnorld. Manchester United imekua kwenye kipindi …
Klabu ya Manchester United inaelezwa kupanga kumuuza kiungo wa kimataifa wa Brazil klabuni hapo Carlos Casemiro baada ya kudumu kwa msimu mmoja tu klabuni hapo. Casemiro alijiunga na Manchester United …
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kushinda mchezo wake wa pili mfululizo kwa mara ya kwanza msimu huu baada ya kuifunga klabu ya Luton Town bao moja kwa bila. Manchester United …