ISHU YA UKAME WA MABAO KWA KIBU DENIS UNA SURA HII
Daily News

Wakati kiungo mshambuliaji wa Simba akipukutisha mwaka bila kufunga ndani ya Ligi Kuu Bara, Legend kwenye masuala ya michezo Bongo na Kimataifa, Saleh Ally wengi wanamuita Jembe ameweka wazi kuwa …

Soma zaidi
TAIFA STARS NI KUFA AU KUPONA LEO
Daily News

Kipa wa timu ya Taifa Stars, Aishi Manula ameweka wazi kuwa wana mchezo mgumu dhidi ya Guinea lakini lengo mama ni kuhakikisha wanfuzu AFCON 2025 kwa kuwa watakuwa nyumbani Mchezo …

Soma zaidi
Kisa Neymar Mashabiki Wamjia Juu Rais wa Palmeiras
Daily News

Staa wa kimataifa wa Brazil Neymar ambaye kwasasa anakipiga katika klabu ya Al Hilal ya nchini Saudia Arabia amesababisha mashabiki wa soka nchini Brazil na duniani kote wamjie juu Rais …

Soma zaidi
Koulibaly: Jackson Anatakiwa Kuwaza Ballon D’or
Daily News

Beki wa zamani wa klabu ya Chelsea Kalidou Koulibaly amemzungumzia mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Nicklas Jackson ambaye ni raia mwenzake wa Senegal na kusema mchezaji huyo anapaswa kuwaza kushinda …

Soma zaidi
Viktor Gyokeres: Nitamaliza Msimu Hapa Sporting CP
Daily News

Mshambuliaji matata raia wa kimataifa wa Sweden Viktor Gyokeres ambaye anafanya vizuri sana kwasasa amesema hana mpango wa kutimka ndani ya klabu ya Sporting Cp kutoka nchini Ureno katika dirisha …

Soma zaidi
Kolo Muani: Siondoki PSG Januari
Ligue 1

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa anayekipa ndani ya klabu ya PSG Kolo Muani ameweka wazi juu ya tetesi zinazomhusisha yeye kutimka klabuni hapo majira ya baridi mwezi Januari. Kolo Muani …

Soma zaidi
Pogba Kufanya Mazoezi Carrington
Daily News

Kiungo wa zamani wa klabu ya Juventus Paul Pogba anatarajiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mazoezi wa klabu ya Manchester United huku akiwa anasubiri kupata timu mpya ambayo ataitumikia baada …

Soma zaidi
SIMBA KAZI INAENDELEA
SOKA LA BONGO

Benchi la ufundi la Simba linaendelea na maandalizi kwenye kikosi hicho kwa mechi za kitaifa na kimataifa ambapo Simba kwenye anga la kimataifa ipo kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa …

Soma zaidi
YANGA YAPIGA HESABU ZA KIMATAIFA
Daily News

Wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wameanza kupiga hesabu kimataifa kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Al Hilal ya Sudan unaotarajiwa kuchezwa Novemba …

Soma zaidi
Paredes: “Nilikuwa na Furaha Hadi De Rossi Alipotua Roma”
Serie A

Kiungo wa kati wa Roma, Leandro Paredes alidai kuwa alikuwa na furaha san’ akiwa Stadio Olimpico hadi alipofanya kazi chini ya kocha Daniele De Rossi, na kuongeza kuwa anaishi maisha …

Soma zaidi
1 2 3 4 5 6 7 2,144 2,145 2,146