Zlatan Ibrahimovic Afikisha Mabao 500 kwa Klabu.
Zlatan Ibrahimoic alikuwa akisubiri lakin hatimaye amefikisha magoli 500 kwa klabu baada ya kufunga goli la kwanza AC Milan ilipocheza dhidi ya Crotone. Mchezaji huyo wa miaka 39 alifikisha rekodi …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Zlatan Ibrahimoic alikuwa akisubiri lakin hatimaye amefikisha magoli 500 kwa klabu baada ya kufunga goli la kwanza AC Milan ilipocheza dhidi ya Crotone. Mchezaji huyo wa miaka 39 alifikisha rekodi …
Ibrahimovic na Lukaku wote kukosa mechi moja ya Coppa Italia baada ya Kuzozana katika derby iliyopita. Zlatan Ibrahimovic na Romelu Lukaku wote wamepigwa marufuku mechi moja kufuatia makabiliano yao makali …
Baada ya kugombana uwanjani katika mchezo wa Coppa Italia, Mshambuliaji wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic na mshambuliaji wa Inter Milan, Romelu Lukaku – wamefungiwa mchezo mmoja. Ibrahimovic amefungiwa mchezo mmoja …
Mshambuliaji wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic. Alijikuta akiambulia kadi nyekundu na kuigharimu timu hiyo kwenye mchezo dhidi ya Inter Milan. AC Milan walichuana na Inter Milan kwenye mchezo wa Coppa …
Wakurugenzi wa AC Milan, Paulo Maldini na Frederic Massara wanaripotiwa kuwa wanafanya mazungumzo na wakala wa aliyekuwa nyota wa Juventus Mario Mandzukic. Kwa mujibu wa chapisho la Calciomercato, mkurugenzi wa …
Kiungo wa AC Milan Franck Kessie amesema angemruhusu Zlatan Ibrahimovic kuendelea kupiga penati pale anapohisi kuwa inafaa. Ibrahimovic alikosa penati dhidi ya Hellas Verona na akasema kuwa angemuachia Kessie penati …
Zlatan Ibrahimovic anaweza kuichezea Milan kwa mara ya kwanza baada ya kukosa mchezo dhidi ya Juventus pale viongozi wa Serie A watakapo kabiliana na Torino siku ya Jumamosi. Mchezaji huyo …
Mashabiki wa AC Milan wanatumaini kuwa nyota wao Zlatan Ibrahimovic atakuwa fiti kurejea dimbani kwenye gemu dhidi ya Juventus Jumatano. Nyota huyu wa miaka 39, hajaweza kuingia dimbani tangia Novemba …
Stefano Pioli amesisitiza kuwa Milan wanalenga kurudi kwenye Ligi ya Mabingwa na amesema pia Simon Kjaer na Zlatan Ibrahimovic ‘Wameleta mabadiliko’. Milan walitawala soka la Italia 2020 na kumaliza mwaka …
Wewe ulijipa zawadi ya Krismasi? Basi nyota wa AC Milan Zlatan Ibrahimovic aliamua kujipa zawadi krismasi, amejinunulia msitu huko Sweden kama zawadi. Kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport, nyota …
Klabu ya AC Milan haina mpango wa kumharakisha nyota wake Zlatan Ibrahimovic kurejea dimbani. Nyota huyu atazikosa mechi dhidi ya Benevento na dhidi ya Juventus akirejea kutoka kuuguza jeraha lake. …
Klabu ya AC Milan imeripotiwa kuanza mazungumzo na nyota wake Frank Kessie kwa ajili ya makubaliano ya mkataba mpya. Nyota huyu ambaye ni raia wa Ivory Coast ameweza kuwa sehemu …
Staa wa AC Milan, mkongwe Zlatan Ibrahimovic ameamua kufunguk aya moyoni na kuwaambia watu waache kudata na jina kwa kuwa ni staa. Zlatan Ibrahimovic: “Sehemu nilipozaliwa “ROSENGARD” ilitawaliwa na uharifu …
Nguli wa Soka Zlatan Ibrahimovic, 39,anayekipiga katika klabu ya AC Milan ya Italia ameendeleza vituko vyake visivyokwisha baada ya kuulizwa kuhusu mchezaji wa kikapu Nihad Devodic. Mwandishi wa habari alimuuliza …
Janne Andersson ambaye ni kocha mkuu wa timu ya taifa Sweden amesema kwamba Zlatan Ibrahimovic lazima adhihirishe kuwa anataka kurudi tena kuichezea Sweden. Mchezaji huyp mwenye umri wa miaka 39 …
Kocha mkuu wa Napoli, Gennaro Gattuso anaamini Zlatan Ibrahimovic amekuwa bora zaidi sasa kuliko miaka 10 iliyopita. Ibrahimovic amekuwa sehemu muhimu sana ya AC Milan, alicheka na nyavu mara mbili …
Zlatan Ibrahimovic alikuwa kwenye tetesi za kurejea katika timu ya taifa ya Sweden lakini kocha wa mkuu Janne Andersson amesema nafasi zimejaa kwa sasa. Mshambuliaji huyo wa Milan alinukuliwa akisema …
Nyota wa AC Milan, Simon Kjaer anasema kuwa klabu hiyo bado haijafanya kitu kikubwa kuelekea kwenye mechi dhidi ya timu yake ya zamani Lille. AC Milan wanashuka dimbani kwenye mechi …
Staa wa AC Milan Zlatan Ibrahimović anatarajiwa kurejea tena katika timu ya Taifa ya Sweden. Ibrahimović amepost picha katika ukurasa wake wa tweeter ukiwa na maneno hayo yenye kumaanisha kuwa …
Zlatan Ibrahimovic anaamini Milan inaweza kumaliza utawala wa Juventus kushinda Scudetto baada ya hapo jana kuifungia Milan goli 2-1 dhidi ya Inter. Milan wanaongoza jedwali la Serie A kwa 100% …