Bayern Yabeba Ndoo Kwa Mara Ya 9 Mfulululizo Kibabe!
Timu ya Bayern Munich inayoshiriki katika Bundesliga ilifanikiwa kutangazwa kuwa bingwa wa ligi hiyo hapo jana baada ya kushusha kipigo kikubwa kabisa cha 6-0 kwa borussia mönchengladbach. Katika mechi hiyo …

