Copa America; Brazil Waambulia Pointi 1
Wakati mashindano ya Copa America yakiendelea barani Amerika, Ecuador wameamua kuwatoa Brazil mchezoni kwa kuwashika shati. Brazil walikuwa uwanjani kuchuana na Ecuador kwenye mchezo wa mwisho wa kundi B. Licha …