Akanji Anukia Manchester City.
Manchester City wapo kwenye mazungumzo ya kutaka kumsajili beki wa kati wa Borussia Dortmund Manuel Akanji. Mchezaji wa kimataifa wa Uswizi, Akanji yuko katika mwaka wa mwisho wa kandarasi yake …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Manchester City wapo kwenye mazungumzo ya kutaka kumsajili beki wa kati wa Borussia Dortmund Manuel Akanji. Mchezaji wa kimataifa wa Uswizi, Akanji yuko katika mwaka wa mwisho wa kandarasi yake …
Klabu ya Manchester City ipo kwenye mchakato wa kufanya upanuzi wa uwanja wao wa nyumbani kwenye jukwaa la kaskazini kwenye uwanja wa etihad na kuweka muonekano wa pembe tatu. Manchester …
Klabu ya Manchester City wamekubali kutoa kiasi cha £42million ili kufanikisha usajiri wa kiungo wa klabu ya Leeds United Kalvin Phillips huku wakikubali kuongeza kiasi cha £3 million kwenye ada …
Manchester City wanania ya kutetea taji la Premier League msimu huu na leo watakuwa na kibarua kigumu mbele ya West Ham United ambao wanataka kucheza tena michuano ya Europa League …
Timu ya Manchester City iliondolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabigwa Ulaya baada ya kukubali kipigo cha 3-1 katika uwanja Santago Bernabeu siku ya Jumatano. City ambao ndiyo viongozi wa …
MANCHESTER City wakiwa na jambo lao hawazuilika baada ya wenyeji Leeds United kuchapwa mabao 4-0. Wakiwa Uwanja wa Elland Road mbele ya mashabiki 35,771 kichapo hicho hakikuepukika kwenye michezo wa …
Big sunday inakwenda na big match ni Manchester City vs Liverpool huku kikosi cha Pep Guardiola kikiingia kwenye mchezo huo akiwa anaongoza kwenye msimamo wa ligi kwa alama 73 alama …
Klabu ya Newcastle United imeripotiwa kujiunga na mbio za kuiwania saini ya mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Neymar wakati wa usajili wa majira ya kiangazi. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil …
Manchester City wanaripotiwa kufikia makubaliano ya kumleta mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Haaland pale Etihad msimu huu. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Norway anatarajiwa kuwa katikati ya mzozo mkubwa …
Manchester City wameripotiwa kufikia makubaliano na mabingwa wa Brazil, Atletico Mineiro kumsaini nyota chipukizi Savio msimu huu wa joto. Winga huyo mwenye umri wa miaka 17, anayejulikana pia kama Savinho, …
Inapofika wikendi basi wapenzi wa soka ulimwenguni ni siku yao ya kujidai kushuhudia timu zao zikchuana na timu pinzani, EPL ni ligi ambayo huongozaa kwa kutizamwa na watu wengi zaidi …
Mechi za wiki ya 22 kunako Premier League zinaendelea leo Jumamosi ambapo macho ya mashabiki wa kabumbu yataelekezwa katika dimba la Etihad Stadium Manchester City wakiwakaribisha wapinzani wa karibu Chelsea …
Klabu ya Manchester City leo wametoa taarifa ya fedha kwa mwaka 2021-21 huku wakitangaza kupata faida na kundeleza kuwa imara kwa muda mrefu japo kulikuwa na mlipuko wa Uviko-19 lakini …
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, ataukosa mchezo dhidi ya Manchester City baada ya kupata maambukizi ya COVID-19. Hii ni mara ya pili kwa Arteta kupata maambukizi ya virusi hivi. Mwezi …
MABINGWA watetezi, Manchester City wameendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya England baadaya ushindi wa 4-0 dhidi ya Newcastle United jana jioni Uwanja wa St. James’ Park, Newcastle. Mabao …
Klabu ya Manchester City imefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuifunga timu ya Paris Saint-Germain 2-1 siku ya Jumatano na kukaa …
Ripoti mbalimbali zinasema Klabu ya Manchester City inatarajiwa kuanza mazungumzo na wakala wa mshambuliaji wa Borrusia Dortmund, Erling Haaland katika majira ya baridi mwezi January. Mino Raiola ambaye ni …
Wiki ya saba kunako Premier League imekamilika kwa michezo kadhaa siku ya Jumapili ambapo mchezo wa mwisho ulikuwa kati ya Liverpool walikuwa katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Manchester City. …
Liverpool ana mwalika Manchester City katika dimba la Anfield katika Premier Laegue ambayo imefika wiki ya saba wote wakiwa na lengo la kuondoka na lama tatu muhimu. Taarifa ya Timu …
Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Paris Saint Germain, Lionel Messi ameanza mazoezi na klabu yake baada ya kuwa nje kwa takribani siku 10 kutokana na jeraha la goti. …