Paris Saint-Germain Lionel Messi - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

PSG: Tunanafasi ya Kumbakisha Mbappe Paris

Daily News

Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappe aliripotiwa kuhusishwa na kutimikia Real Madrid lakini Leonardo amesema klabu hiyo itafanya kila kitu inachoweza kumfanya nyota huyo kusalia klabuni hapo. Katika mahojiano ya …

PSG: Messi Kurejea Kikosini Kuwavaa Reims

Daily News

Kocha mkuu wa PSG Mauricio Pochettino amethibitisha kwamba Lionel Messi atarejea kuichezea Paris Saint-Germain siku ya Jumapili timu hiyo itakavyo kabiliana na Remis. Nyota huyo wa zamani wa Barcelona alikutwa …

Messi: Nilidhani Nitapona Haraka COVID-19

Daily News

Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Lionel Messi amesema kwamba imechukua muda muda mrefu kwa yeye kupona baada ya kupima na kukutwa na maambukizi ya coronavirus. Messi alipata maambukizi wakati akiwa nyumbani …

Mshahara wa Messi PSG Wawekwa Wazi

Daily News

Lionel Messi alijiunga na klabu ya Paris Saint-Germain wakati wa dirisha la usajili la majira ya joto kama mchezaji huru, lakini mshahara wa mchezaji huyo wa Argentina haukuwekwa wazi sasa …

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10