Thomas Partey Ahusishwa na Usaliti Ghana Ikiondoshwa Kombe la Dunia
Thomas Partey ameitwa ‘msaliti’ kwa kubadilishana jezi na Luis Suarez baada ya mechi ya kinyongo kati ya Ghana na Uruguay siku ya Ijumaa. Huku timu zote mbili zikiwa bado …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Thomas Partey ameitwa ‘msaliti’ kwa kubadilishana jezi na Luis Suarez baada ya mechi ya kinyongo kati ya Ghana na Uruguay siku ya Ijumaa. Huku timu zote mbili zikiwa bado …
HISTORIA imeandikwa tena unaweza kusema, ni baada ya timu tatu kutoka za shirikisho la soka Asia kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza, tangua kuanza kwa michuano ya …
Kocha mkuu wa Ghana Otto Addo ameamua kujiuzulu wadhifa wake hapo jana baada ya timu yake hiyo kushindwa kwenda hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Dunia kwa …
Nyota wa zamani wa Manchester United Patrice Evra alipenda picha kwenye mitandao ya kijamii ya Luis Suarez akilia baada ya Uruguay kuondolewa kwa Kombe la Dunia na kuendeleza uhasama wao …
Timu ya taifa ya Korea Kusini imefanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora baada ya kufanikiwa kuifunga timu ya taifa ya Ureno kwa mabao mawili kwa moja katika mchezo wa mwisho …
Cristiano Ronaldo ametajwa kwenye kikosi cha kwanza cha Ureno katika mechi ya mwisho ya Kundi H dhidi ya Korea Kusini baada ya kukosa mazoezi ya kujiandaa na pambano hilo. …
Beki wa Ureno Nuno Mendes atakuwa nje kwa miezi miwili ijayo baada ya kuumia paja kwenye mchezo wao wa Kombe la Dunia ambapo timu yake ilikuwa ikiumana dhidi ya Uruguay. …
Klabu ya Manchester United inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza imetakata kwenye michuano ya kombe la dunia siku ya jana katika michezo miwili tofauti. Klabu hiyo imetakata baada ya wachezaji wake …
Cristiano Ronaldo hakuguswa na mpira kwenye bao la kwanza la Ureno katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Uruguay, kulingana na data “sahihi sana” iliyochukuliwa kutoka kwenye sensa ndani ya mpira …
Casemiro anaamini kuwa Brazil wako katika nafasi nzuri zaidi kwenye Kombe la Dunia la Qatar kuliko ilivyokuwa Urusi mnamo 2018. Kiungo huyo wa kati wa Manchester United, Casemiro alitupia …
Siku ni Jumatatu na Jumanne wakati ambao wengi wanakuwa kwenye mihangaiko ya kutafuta chochote kitu, ili mkono uende kinywani, sikia mdau! Meridianbet hawakuachi ukateseka, msimu huu wa kombe la dunia …
Kulingana na ripoti ya The Times, mchezaji wa PSG Lionel Messi yupo kwenye makubaliano ya kujiunga na klabu ya MLS ya Inter Miami mwishoni mwa msimu wa 2022-23. Nyota …
Kocha wa Ghana Otto Addo kila mara alitarajia kuwa mchezaji wa Spurs Son Heung-min angeendelea kuwa na taaluma nzuri, huku akisifu tabia na nidhamu ya nahodha huyo wa Korea Kusini. …
Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga katika michuano mitano tofauti ya Kombe la Dunia baada ya kufunga bao la kwanza jana akiwa na Ureno walipokuwa wakimenyana dhidi ya Ghana. …
Mchezaji wa Manchester United na timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo hatacheza mechi ya Ureno ya kujiandaa na Kombe la Dunia dhidi ya Nigeria siku ya leo kwa sababu …
Beki wa kati wa Liverpool Virgil van Dijk amesema Liverpool “haijawahi kutilia shaka” ubora wa Darwin Nunez kufuatia kuimarika kwa mshambuliaji huyo hivi karibuni baada ya kuwa na mashaka mengi …
Klabu ya soka ya Tottenham imefanikiwa kushinda dhidi ya klabu ya Leeds United kwenye mchezo wa ligi kuu ya Uingereza mchezo huo uliopigwa katika dimba dimba la Tottenha Hotspur. Mchezo …
Washambuliaji wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez pamoja Edson Cavani wanajiandaa kucheza michuano ya kombe la dunia kwa mara ya nne kila mmoja, Baada ya kuitwa kwenye kikosi …
Arsenal wanafikiria kumnunua Facundo Torres kutoka klabu ya Orlando City, kwa mujibu wa ripoti. Meneja Mikel Arteta, ambaye kwa sasa timu yake ipo kileleni mwa Ligi Kuu kwa tofauti ya …
Nunez: Huenda ukawa haukuwa mwanzo mzuri wa msimu kwa msajili wa rekodi ya Liverpool Darwin Nunez, lakini amefanikiwa kuvunja rekodi ya kuwa mchezaji mwenye kasi zaidi katika historia ya Ligi …