MAXI NZENGELI KWENYE MAJUKUMU MAPYA
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamondi, amesema anahitaji wachezaji wake muhimu anaowategemea kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu kuwa fiti, hivyo bado anaendelea na mazoezi …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamondi, amesema anahitaji wachezaji wake muhimu anaowategemea kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu kuwa fiti, hivyo bado anaendelea na mazoezi …
WAKATI huu wa mapumziko ya Ligi Kuu Bara kutokana na kuwepo kwa mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika, maarufu kama AFCON uongozi wa Ihefu umeweka wazi kuwa kambi yao itakuwa …
Taarifa kutoka ndani ya kambi ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa stars) zimethibitisha kuwa Shirikisho la soka barani Africa (CAF) Limemfungia kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania …
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa usajili wa mshambuliaji wao mpya Joseph Guede utawaongezea kasi kwenye suala la kufunga. Huku wapinzani wao wakionywa kutokana na uwezo wa mshambuliaji huyo mwenye …
Mohamed Salah ataelekea kwenye michuano ya AFCON huko Ivory Coast mara baada ya kuonesha kiwango kikubwa kwenye mchezo dhidi ya NewCastle uliomalizika kwa Liverpool kupata ushindi mkubwa wa mabao 4-2, …
Mohamed Salah anaelekea kwenye AFCON baada ya kuonesha kiwango kikubwa sana kwenye mchezo dhidi ya NewCastle uliomalizika kwa ushindi wa mabao 4-2 kwa Liverpool na kuwafanya kuendelea kujikita kileleni …
IPO wazi kuwa mtambo wa kazi uliotambulishwa ndani ya Yanga ni noma kutokana na majukumu yake kuwarahisishia kazi benchi la ufundi la timu hiyo. Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga …
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche amesema Jana amefanya mabadiliko ya Kikosi kwa kuwaweka nje wachezaji Kama Mbwana Samatta, Simon Msuva, Aishi Manula na wengine ilikuwa ni kuwapa nafasi …
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars imefanikiwa kupata matokeo ya ushindi katika mchezo wa kufuzu kombe la dunia ambao wamecheza dhidi ya timu ya taifa a Niger. Mchezo huo …
“NI Ijumaa murua, Ijumaa ya kihistoria karibu kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika fainali ya kwanza katika historia kwenye dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam …
KATIBU wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo, Gerson Msigwa amesema Viwanja viwili vya Dodoma pamoja na Arusha vinavyotarajiwa kujengwa vitakuwa na uwezo wa kubeba watazamaji Elfu 30 kila kiwanja. …
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro na Rais wa TFF Wallace Karia wametembelea Kambi ya Timu ya Singida Fountain Gate iliyopo Cairo Misri ikijiandaa na mchezo wa …
KUELEKEA katika mchezo wa kuwania kufuzu Mashindano ya Mataifa ya Kimataifa Wanawake, (WAFCON) unaotarajiwa kuchezwa leo, benchi la ufundi la Timu ya Taifa ya Tanzania, Twiga Stars limeweka wazi kuwa …
Shirikisho la Ngumi Tanzania (BFT) kwa kushirikiana na Chama cha Ngumi Mkoa wa Tanga waadhimisha siku ya kimataifa ya Ngumi Duniani (27 August) katika Jiji la Tanga. Makamu wa Raisi …
Maafisa wa CAF jana walifika Tanzania na kufanya ukaguzi wa uwanja wa taifa wa Benjamin Mkapa, ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya kimataifa na kuandaa kashindano ya AFCON 2027. Tembelea …
Aliyekuwa kocha msaidizi wa Yanga Cedric kaze amewaaga rasmi mashabiki, wanachama na viongozi wa timu hiyo mara baada ya kuachana na timu hiyo. Cedric Kaze atarudi nchini kwao Burundi kwenda …
MILTON Karisa nyota mwenye miaka 27 anayekipiga ndani ya Vipers ya Uganda anatakiwa kuwa katika hesabu za Simba. Kiungo huyo amewahi kufanya kazi na Robert Oliviera ambaye ni Kocha Mkuu …
Milton Karisa nyota mwenye miaka 27 anayekipiga ndani ya Vipers ya Uganda anatakiwa kuwa katika hesabu za Simba. Kiungo huyo amewahi kufanya kazi na Robert Oliviera ambaye ni Kocha …
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Adel Amrouche ameita majina 30 ya wachezaji wa taifa stars watakaoingia kambini kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya …
Timu ya Taifa ya Wasichana ya U-17 Serengeti Girls Itacheza na Zambia kwenye mchezo wa hatua ya kwanza kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwakani. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi …