chelsea - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Chelsea Mambo Bado Magumu

Daily News

Klabu ya Chelsea mambo bado yanaendelea kuwaendea upande kwani leo tena wameshindwa kupata matokeo ya ushindi katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya AFC Bournamouth. Chelsea imelazimishwa sare …

Chelsea Yapigwa City ikiua

Daily News

Klabu ya Chelsea imepokea kichapo chake cha pili kutoka kwa klabu ya Nottingham Forest kunako ligi kuu ya Uingereza wakiwa katika dimba la nyumbani la Stamford Bridge. Chelsea wamecheza mchezo …

Chelsea Wahamia kwa Kinda wa Man City

Daily News

Klabu ya Chelsea imehamishia nguvu kwa mchezaji kinda wa klabu Manchester City ambaye anacheza nafasi ya kiungo wa ushambuliaji anayejulikana kama Cole Palmer. Klabu ya Chelsea mpaka sasa inaripotiwa kufanya …

Mudryk Aomba Uvumilivu Chelsea

Daily News

Winga wa klabu ya Chelsea raia wa kimataifa wa Ukraine Mykhailo Mudryk ameomba uvumilivu ndani ya klabu hiyo kutokana na kiwango chake ambacho anakionesha kwasasa. Mudryk ambaye amekua akinyooshewa kidole …

Lavia Njiani Kuelekea Chelsea

Daily News

Aliyekua kiungo wa klabu ya Southampton Romeo Lavia yuko mbioni kujiunga na matajiri wa jiji la London klabu ya soka ya Chelsea kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 50. …

Chelsea Vitani na Liverpool kwa Lavia

Daily News

Klabu ya Chelsea imeingia vitani na klabu ya Liverpool katika kumuwania kiungo wa klabu ya Southampton raia wa kimataifa wa Ubelgiji Romeo Lavia. Chelsea imetaarifiwa kupeleka kiasi cha paundi milioni …

1 2 3 4 5 6 7 183 184 185