Christian Eriksen - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema, Chelsea wanaweza kuwatoa Cesar Azpilicueta, 32, na Marcos Alonso, 31, pamoja na pauni milioni 51 ili kuwapiku Manchester United katika mbio za kumsajili kiungo wa Barcelona, Frenkie de …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Chelsea imekubaliana na Leeds kuhusu dau la kumnunua mshambuliaji wa Brazil na Leeds United Raphina mwenye umri wa miaka 25, kwasasa wako katika makubaliano binafsi na mchezaji. …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Klabu ya Inter Milan ya Italia imekubali dili la kumsajili mshambuliaji Romelu Lukaku kwa mkopo wa msimu mzima kutoka Chelsea. Mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski bado anataka …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Manchester United imepeleka ofa ya kumsajili kiungo wa Denmark Christian Eriksen, 30, wakati huu mkataba wake na Brentford ukimalizika mwishoni mwa mwezi Juni. Bayern Munich inajiandaa kutoa …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Juventus wana uhakika mkubwa ya kumsajili Paul Pogba, 29 bure kutoka Manchester United. Kiungo huyo mfaransa amekubali kusaini mkataba wa miaka minne. Kiungo wa Denmark Christian Eriksen, …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Manchester United wanaweza kumnasa mchezaji wa Denmark Christian Eriksen kwa uhamisho huru kufuatia mkataba wake wa muda mfupi na Brentford kumalizika mwishoni mwa mwezi Juni. Arsenal wako …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

News

Tetesi zinasema, Arsenal inakaribia kukamilisha uhamisho wa £40m wa kiungo mbelgiji wa Leicester Youri Tielemans lakini Real Madrid wanamuwinda nyota huyo pia. Mshambuliaji wa kireno Cristiano Ronaldo, 37, amezungumza na …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Kiungo wa kati wa Denmark Christian Eriksen, 30, anatakiwa na meneja mpya wa Manchester United Erik ten Hag. Eriksen anacheza Brentford kwa mkataba wa miezi sita ambao …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Manchester City na Uingereza Raheem Sterling, 27, yuko kwenye orodha ya wachezaji ambao AC Milan inataka kuwasajili. Real Madrid na Barcelona wanataka kumsajili beki wa …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zainasema, Liverpool wanapanga kumpatia mkataba mpya mchezaji wa kimataifa wa Senegal Sadio Mane, 30. Mkataba wa sasa wa mshambuliaji huyo unamalizika baada ya msimu ujao. Tetesi zinasema, Liverpool …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Manchester United wamefikia makubaliano binafsi na meneja wa Ajax Erik ten Hag kuwa meneja mashetani wekundu kuanzia msimu ujao kwa mkataba wa miaka minne. Manchester United na …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

News

  Tetesi zinasema, Paris St-Germain imempatia mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, kitita cha euro milioni 150 kwa misimu miwili ili abaki klabuni hapo. Tetesi zinasema, Manchester United imetuma mawakala kumuangalia …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Meneja wa Borussia Dortmund Marco Rose anasema mazungumzo yanafanyika na mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland kuhusu mustakabali wake. Wachezaji kadhaa wa Manchester United wanataka klabu hiyo …

Januari Imeisha Kibabe Sokoni.

Football

Mchongo wa usajili wa dirisha dogo mwezi Januari umetamatika usiku wa kuamkia leo. Wapo waliolamba dume na wapo waliotoka patupu. Sakata la wiki 7 za sintofahamu ndani ya Arsenal, zimetamatika. …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema, Barcelona na Juventus wamewasilisha ombi rasmi la kutaka kumsajili mshambuliaji wa Arsenal na Gabon Pierre-Emerick Aubameyang 32 kwa mkopo kwa kipindi cha msimu kilichosalia. Meneja wa West Ham, …

Tetesi za Soka barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema, Mpango wa Arsenal kumnunua mshambuliaji Dusan Vlahovic, 21, umekuwa mgumu zaidi baada ya Juventus kumletea mmiliki wa Fiorentina Rocco Commisso ofa pinzani kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

News

  Tetesi zinasema, Juventus wameonesha nia kwa mshambuliaji wa Arsenal na Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, 32, huku mustakabali wake ukiwa shakani katika Uwanja wa Emirates baada ya kuvuliwa unahodha. Leeds wanataka …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Maafisa wa Barcelona wamefanya mazungumzo na Manchester City kuhusu kumsajili mshambuliaji wa Uhispania Ferran Torres, 21, mwezi Januari. Tetesi zinasema, Manchester City wanamfuatilia mshambuliaji wa Fiorentina na …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa England Harry Kane, 28, ataachana na mipango ya kuondoka Tottenham baada ya kuwasili kwa Antonio Conte kuifundisha klabu hiyo. Tetesi zinasema, Conte anajiandaa kwa usajii …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema Barcelona wanakaribia kufikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero, 32 japo itategemea na Lionel Messi kuendelea kusalia Camp Nou. Mkufunzi wa Manchester United Ole …

1 2 3 4 5 6 7